Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

CHAI MAHARAGE NA POLEPOLE 😃😃
NYAKATI ZILE HATA YEYE ALIKUWA UPANDE WA UOVU,MACHO YAKE HAYAKUONA YA KUWA KUNA WATU KWENYE VIROBA!(WAMETUPWA),SHORTLY SI MSAFI,ATUJUZE NANI ALIKUWA AKIFANYA YALE?/ KWA NINI ALIYAKALIYA KIMYA,
#UKITULIZA AKILI UTAGUNDUA WOTE MANTA NYAHIIII
 
Manjaa umekuwa mpiga zumari wa Polepole. Tutamfufua mwendazake akushughulikie tena.
 
Polepole ni kama Mbwa mwenye kichaa huwa anahangaika sana kutafuta mtu wa kumuua
 
Bahati mbaya anaodeal nao Wana department zote zakuendesha mambo yao.

Ndio yule dogo wamempumzisha ili apate muda wa kudeal na ground floor na vita kama hizi, ameshakabidhiwa hicho kitengo mpaka bahari itulie..
Mwakani hapo anarudishwa kwenye game.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 
Kwani Polepole amewahi huwa IGP au DGIS unataka akujulishe habari za viroba.

Watu wa kuwahoji mambo yale ni
1. Rais
2. IGP
3. DCI
4. DGIS
5. waziri mkuu
 

yapigweeeeeeee!

na zile 10 days za Mtumishi wa Mungu Josephat Gwajima, zinaelekea kutamatika.

#KATAA WAHUNI#
 
Alikuwa mtu mzito ndani ya chama pamoja na uchanga wake ndani ya chama.(Yalimuhusu)
Vyombo vya dola haviko chini ya chama. Viko chini ya serikali.

Mwenye dhamana ya kulinda wananchi na mali zao ni serikali na vyombo vya dola.

Uchafu wote unaoendelea kwa sasa ni serikali iliyo madarakani. Chama ni political vehicle tu ya kumpata Rais. Kwa katiba yetu mtu akiwa Rais anakuwa juu ya chama.

Na humfanyi kitu. Akikohoa tu wote mnaingia uvunguni. Akiagiza Crocodiletooth uchinjwe utachinjwa tu.
 
Sote tunasubiri kwa hamu.
Ila kwa sababu tushaonekana waTz ni mazuzu, muda huo mitandao haitapatikana!
 
HP alikuwa mtu mdogo sana kujua classified issues za ndani ya mifumo.
Kikubwa anachojua ni kilekile walio wengi wanakijua mitaani.

Hakufika level ya kuyajua yasiyotakiwa kujulikana, na kama angeyajua hayo sidhani kama angepata hata huo muda ya kuretard.

Wahusika wana akili nyingi kuliko zake, angakuwa ana madhara asingepata hata nafasi ya kwenda Cuba, wangeshamalizana naye, kutupiwa ndoano kwenye umri na uzoefu wake kwenye game ilikuwa rahisi sana.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…