Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Apambane na hali yake bila kumhusisha zari. Naona humu hawawez mtaja zari bila tununu mweeee
Watu wanatokwa na mapovu kisa tu hamisa na zari[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila jamani mwacheni bi tununu apambane na hali yake kha!mlivyomkalia kooni bi dada wa watu sasa