Leo ni leo ndani ya Kampala; pale Zari kule Hamisa Mobetto

Leo ni leo ndani ya Kampala; pale Zari kule Hamisa Mobetto

Status
Not open for further replies.
2d643678ee70e1ba7f348447da14cd8c.jpg
mwachen Zari awe Zari kweli !!
 
Warembo wengi Wa bongo hawako upstair wengi ni wana tabia za kiswahili Swahili hawajielewi...

Bongo sijaona demu upstair walau kumfikia akothe, zari au simisola.... Sio wema , Hamisa wala yasinta ..

Mademu walio upstair kutoka bongo ni ambao hawapo kwenye tasnia ya bongo movie na wachache kwenye music....
Kylin, Jokate
 
Mimi nampenda Zari, Ila Kwenye hili Hamis naona Hana makosa
Zari ana Bifu na Don Zella , party aliyo host Hamisa imeandaliwa na Don Zella kwa lengo tu la kumkomoa Zari Don Zella akapanga tarehe moja na Zari na akamleta Hamisa mke mwezie Zari akajua lazima party yake itamake headline mitandaon na Zari ataangukia pua Ila Zari kamfunika Don Zella wakati Hamisa kashavuta Pesa yake aliyoahidiwa.

Kwa upande wa Tz ilikuwa Hamisa 'Vs Zari
Wakati Ug ilikuwa. Don Zella Vs Zari

Kwa updates ninazozishuhudia White Party ilifunika Kwa 5-0 upande wa pili wanapumulia pua

Screenshot_2017-12-22-10-35-34.png
Screenshot_2017-12-22-10-36-30.png
 
Mimi nampenda Zari, Ila Kwenye hili Hamis naona Hana makosa
Zari ana Bifu na Don Zella , party aliyo host Hamisa imeandaliwa na Don Zella kwa lengo tu la kumkomoa Zari Don Zella akapanga tarehe moja akajua Zari ataangukia pua Ila Zari kamfunika Don Zella wakati Hamisa kashavuta Pesa yake aliyoahidiwa.

Kwa upande wa Tz ilikuwa Hamisa 'Vs Zari
Wakati Ug ilikuwa. Don Zella Vs Zari

Kwa updates ninazozishuhudia White Party ilifunika Kwa 5-0 upande wa pili wanapumulia pua
Umemaliza Dear, Hamissa akatae hela kisa party ni tarehe moja na ya zari?

Watanzania tuna roho mbaya hatupendi mwenzetu afanikiwe ingekua ndiyo zari kafanya hivyo kwa mtu wa Tz angesifiwa humu balaa.

Chuki na roho mbaya zimetujaa.

mara wanamsema anamuiga Zari utafikiri huyo Zari kila anachokifanya amekivumbua yeye.
 
Mimi team Zari kindakindaki Part angeiandaa Hamisa mwenyewe hapo kweli Ila Hamisa kapewa dili afanye hata Mimi Siwez kataa Kisa mke mwenzangu kila Mmoja Anatafuta Ridhki kwa namna yake na hata ukisoma comment nyingi za Waganda wanamchamba Don Zella
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom