Watu wanatokwa na mapovu kisa tu hamisa na zari[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila jamani mwacheni bi tununu apambane na hali yake kha!mlivyomkalia kooni bi dada wa watu sasa
Zari naye wameshauza tiketi zote pia. Jana nilitaka kununua nikaambiwa zimekwisha tangu juziHamisa party yake washauza ticket zote
Atapata nae kwa muda wake
Acha tuuYaan hadi huruma, anajilazimisha kushindana na Zari.
Kwani lazima,nyie ndio mwawashindanisha mpaka akifanya kitu kidogo tu hamisa povu linawatokaMuda upi huo???? Baby abdul hajasaidia hata kupata ka ubalozi ka nmb maweeeeeee watu na ndoto zao
Kwani lazima,nyie ndio mwawashindanisha mpaka akifanya kitu kidogo tu hamisa povu linawatoka
Dai ana sex body,bado mdogo,kulinganisha ivan na dai ,dai yupo mwake,Nani anavutia dai,huyu huyuuu aliyeitwa chai jaba mara domo!!!??kama ivan hakua anavutia wema alijepeleka kufanya nn na hata ka chchunge kalikua kanajigongesha kwa boss mwenye hela zake. Maneno ya mkosaji bana
Muda ushaniishia hapa,,nimewapa dose imewatoshaHebu angalia comment zako tangu mwanzo wa uzi kutwa kumtaja zari na kumshindanisha na hamisa pole shostie
Hamisa sio wa kuigwa. Tufundishe na tuwasomeshe watoto wetu wasijekuwa kama hamisa"Watanzania wanapenda maendeleo lakini wanawachukia watanzania wenzao wenye maendeleo"
Kweli kabisa"Watanzania wanapenda maendeleo lakini wanawachukia watanzania wenzao wenye maendeleo"
Kwani hamisa yukoje mkuu?Hamisa sio wa kuigwa. Tufundishe na tuwasomeshe watoto wetu wasijekuwa kama hamisa
Haya ndio maneno sasa we ndio umemalizaKila mmoja yupo mjini kimpango wake Zari yupo mjini kwa hizo deals likewise to mobeto. Kama ni kushindana Mo angemwachia bakhresa atengeneze juice yeye afanye mengine. Go mobetto changamkia fursa usife njaa. Zari na wewe tumia fursa uendelee kupeta.
Hizo ni fikra zao kwani kuiga ni dhambi wangapi wanaigana mjini na tonge linakwenda tunaishi kwa kuiga yanayotuzunguka. Hamisa anatakiwa apate mtu ampige msasa achangmkie fursa huu ndiyo muda wa kuzipiga. wote ni wanawake wanaotumia wanaotumia uzuri wao kuwepo mjini mmoja alitangulia tu.Haya ndio maneno sasa we ndio umemaliza
Sio kuponda kuigwa aigwe ye nani,kipi kaanzisha kipya chini ya jua hapa
Nilitaka kuandika hiki hikiMi sijui nimeshakuwa mzee...!!! Yan wala sielew nini kinaendelea. Wala sijui hzo party ni za nn...!!
Make upYani huyu mtoto alivyo mrembo hivi akinipa sikatai, aaah na zama mpaka....
Kwa ufupi Mrembo Hamisa anamnyima Zari usingizi..........Na sasa atakuwa kachanganyikiwa kabisa kwani Ticket za kwenye Party ya Hamisa zimeshauzwa zote "Sold Off"