Leo ni leo ndani ya Kampala; pale Zari kule Hamisa Mobetto

Status
Not open for further replies.
Kylin, Jokate
 
Mimi nampenda Zari, Ila Kwenye hili Hamis naona Hana makosa
Zari ana Bifu na Don Zella , party aliyo host Hamisa imeandaliwa na Don Zella kwa lengo tu la kumkomoa Zari Don Zella akapanga tarehe moja na Zari na akamleta Hamisa mke mwezie Zari akajua lazima party yake itamake headline mitandaon na Zari ataangukia pua Ila Zari kamfunika Don Zella wakati Hamisa kashavuta Pesa yake aliyoahidiwa.

Kwa upande wa Tz ilikuwa Hamisa 'Vs Zari
Wakati Ug ilikuwa. Don Zella Vs Zari

Kwa updates ninazozishuhudia White Party ilifunika Kwa 5-0 upande wa pili wanapumulia pua

 
Umemaliza Dear, Hamissa akatae hela kisa party ni tarehe moja na ya zari?

Watanzania tuna roho mbaya hatupendi mwenzetu afanikiwe ingekua ndiyo zari kafanya hivyo kwa mtu wa Tz angesifiwa humu balaa.

Chuki na roho mbaya zimetujaa.

mara wanamsema anamuiga Zari utafikiri huyo Zari kila anachokifanya amekivumbua yeye.
 
Mimi team Zari kindakindaki Part angeiandaa Hamisa mwenyewe hapo kweli Ila Hamisa kapewa dili afanye hata Mimi Siwez kataa Kisa mke mwenzangu kila Mmoja Anatafuta Ridhki kwa namna yake na hata ukisoma comment nyingi za Waganda wanamchamba Don Zella
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…