Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori na Mabasi. Epuka usumbufu

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Kama ilivyo tangazwa hapo awali,

Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori, Mabasi na IT Nchi Nzima Tanzania.

Hivyo kama ni msafiri, tumia njia nyingine kama ndege, Treni au Meli hata Mtumbwi.

Asante.

Kuna watu wanahoji kwanini wanagoma?

Wanagoma kutoka na Utawala Mbovu usiotenda haki wa CCM na wauaji wa 29 Oktoba 2025.

Madereva Hawana mtetezi na Madai yao hayasikilizwi. Serikali ya CCM imewageuza Madereva Kitega Uchumi Barabarani.

Tulishawaambia Serikali ya Awamu ya Sita ya Mzanzibari wenu Mjane alofiwa na mume wake Samia Serikali yake imepalalyze. Walichobakiza ni Vitisho vya kuteka, kubambikiza kesi za uongo na kuua watu.

Baadhi ya Madai yao ni pamoja na:

1. Kurenew leseni bila masharti wanayoyaona kuwa magumu.

2. Madereva wenye uzoefu wa zaidi ya miaka 15 kupewa utaratibu maalum wa renewal.

3. Kupunguza gharama za mafunzo/renewal ya leseni — madai yaliyotajwa yalieleza gharama ya takriban Sh 375,000 kuwa kubwa.

4. Kuboresha barabara, hasa malalamiko kuhusu ubovu wa miundombinu.

5. Masuala ya LATRA na ukaguzi barabarani — baadhi ya madereva wamekuwa wakilalamikia namna ukaguzi na utekelezaji wa kanuni unavyofanyika.

6. Kuongezwa kwa kima cha chini cha mshahara wa madereva, huku madai yaliyosambazwa yakitaja kutoka Sh 350,000 hadi Sh 1,000,000.

7. ICD za Dar es Salaam — kuna madai ya kuhamisha ICD kwenda Kwala ili kupunguza changamoto zinazowakabili madereva.

8. Mfumo wa pointi 15 kwenye leseni umetukalia kooni na umeibua pia malalamiko ya madereva; hoja zilizotolewa ni kwamba makosa mengine yanaweza kusababishwa na mambo kama ubovu wa gari, barabara au alama za barabarani, ambayo si jukumu la dereva pekee. P
IMG-20260929-WA0023.jpg

Kama ilivyo tangazwa hapo awali,

Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori na Mabasi Nchi Nzima Tanzania.

Hivyo kama ni msafiri, tumia njia nyingine kama ndege, Treni au Meli hata Mtumbwi.

Asante.

Kuna watu wanahoji kwanini wanagoma?

Wanagoma kutoka na Utawala Mbovu usiotenda haki. Hawana mtetezi wa Madai yao hayasikilizwi. Serikali ya CCM imewageuza Madereva Kitega Uchumi.

Baadhi ya Madai yao ni pamoja na:

1. Kurenew leseni bila masharti wanayoyaona kuwa magumu.

2. Madereva wenye uzoefu wa zaidi ya miaka 15 kupewa utaratibu maalum wa renewal.

3. Kupunguza gharama za mafunzo/renewal ya leseni — madai yaliyotajwa yalieleza gharama ya takriban Sh 375,000 kuwa kubwa.

4. Kuboresha barabara, hasa malalamiko kuhusu ubovu wa miundombinu.

5. Masuala ya LATRA na ukaguzi barabarani — baadhi ya madereva wamekuwa wakilalamikia namna ukaguzi na utekelezaji wa kanuni unavyofanyika.

6. Kuongezwa kwa kima cha chini cha mshahara wa madereva, huku madai yaliyosambazwa yakitaja kutoka Sh 350,000 hadi Sh 1,000,000.

7. ICD za Dar es Salaam — kuna madai ya kuhamisha ICD kwenda Kwala ili kupunguza changamoto zinazowakabili madereva.

8. Mfumo wa pointi 15 kwenye leseni umeibua pia malalamiko ya madereva; hoja zilizotolewa ni kwamba makosa mengine yanaweza kusababishwa na mambo kama ubovu wa gari, barabara au alama za barabarani, ambayo si jukumu la dereva pekee. P
Mbona hatuna tatizo na hayo madai, kama mishahara ni mikubwa ukifananisha na nchi za ulaya. Tuchape kazi.
 
Kama ilivyo tangazwa hapo awali,

Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori na Mabasi Nchi Nzima Tanzania.

Hivyo kama ni msafiri, tumia njia nyingine kama ndege, Treni au Meli hata Mtumbwi.

Asante.

Kuna watu wanahoji kwanini wanagoma?

Wanagoma kutoka na Utawala Mbovu usiotenda haki. Hawana mtetezi wa Madai yao hayasikilizwi. Serikali ya CCM imewageuza Madereva Kitega Uchumi. Tulishawaambia Serikali ya Awamu ya Sita ya Mzanzibari wenu Samia imepalalyze. Walichobakiza ni Vitisho vya kuteka na kuua watu.

Baadhi ya Madai yao ni pamoja na:

1. Kurenew leseni bila masharti wanayoyaona kuwa magumu.

2. Madereva wenye uzoefu wa zaidi ya miaka 15 kupewa utaratibu maalum wa renewal.

3. Kupunguza gharama za mafunzo/renewal ya leseni — madai yaliyotajwa yalieleza gharama ya takriban Sh 375,000 kuwa kubwa.

4. Kuboresha barabara, hasa malalamiko kuhusu ubovu wa miundombinu.

5. Masuala ya LATRA na ukaguzi barabarani — baadhi ya madereva wamekuwa wakilalamikia namna ukaguzi na utekelezaji wa kanuni unavyofanyika.

6. Kuongezwa kwa kima cha chini cha mshahara wa madereva, huku madai yaliyosambazwa yakitaja kutoka Sh 350,000 hadi Sh 1,000,000.

7. ICD za Dar es Salaam — kuna madai ya kuhamisha ICD kwenda Kwala ili kupunguza changamoto zinazowakabili madereva.

8. Mfumo wa pointi 15 kwenye leseni umeibua pia malalamiko ya madereva; hoja zilizotolewa ni kwamba makosa mengine yanaweza kusababishwa na mambo kama ubovu wa gari, barabara au alama za barabarani, ambayo si jukumu la dereva pekee. P
ok.
tutasort as soon as possible hiyo ni issue kidogo sana.

well done wale wanaoendelea kutoa huduma 🤝
 
Hali ndio hiyo
 
Attachments

  • AQOJzE1z-V75do9qzaQEomHQTgJbWHG_GJbG5CtncL2i7Ol-xtYA_bPTXx3hemrqwSlj0tRClUBhKY7Da8hBwz0i1sbI3r...mp4
    6.3 MB
  • Screenshot_20260929_092007_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20260929_092007_Instagram Lite.jpg
    325 KB · Views: 18
  • AQNuHy9erkj-tswNqh1TJtgSHlVvuVAXAYrvOmPM4zz2OWncYDcGMM28IHKtRWLy7AjcJYLExDZAuQ6RLX8zxpG9h4XGJU...mp4
    4.4 MB
Leo mgomo umekubali. Tushindwe kuandamana, hadi mgomo tushindwe? Si kweli

Nilienda na kichwa cha Scania pale Arusha waliniambia wanataka niende darasani na nikiferi hawatoi cheti ili nipate hiyo E ila C cheti chake ninacho nikaona mazingira ya rushwa na kupotezeana muda nikwa Tanzania kama nina horse naleta natumia leseni ya SA tu maana jamaa wanapenda kupotezeana muda sana yaani nianze kusoma aisee na nilikua na E wameitoa wenyewe kisa cheti na hata sikumbuki kipo wapi aisee kati ya vitu nilisema sintapoteza hela ni kusoma ili nipate E waliyoitoa hapana aisee ntatumia Leseni ya SADC au ya SA bila shida na hiyo wakiamua waweke points zao..
 
Back
Top Bottom