figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Subirini mwezi wa 12 karibia na mwaka mpyaDuhh!! Na sisi abiria tupange siku yetu ya mgomo.
Kwa kweli kwenye tarehe hizo tukigoma tutakuwa tumeonyesha uwezo wetu.Subirini mwezi wa 12 karibia na mwaka mpya
Hapo itakua balaaKesho zamu yetu bodaboda kugoma nchi nzima?
Itatusaidia pia sisi ambao huwa tunatoa sababu za kutoenda kusalimia nyumbaniKwa kweli kwenye tarehe hizo tukigoma tutakuwa tumeonyesha uwezo wetu.
Mbona hatuna tatizo na hayo madai, kama mishahara ni mikubwa ukifananisha na nchi za ulaya. Tuchape kazi.Kama ilivyo tangazwa hapo awali,
Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori na Mabasi Nchi Nzima Tanzania.
Hivyo kama ni msafiri, tumia njia nyingine kama ndege, Treni au Meli hata Mtumbwi.
Asante.
Kuna watu wanahoji kwanini wanagoma?
Wanagoma kutoka na Utawala Mbovu usiotenda haki. Hawana mtetezi wa Madai yao hayasikilizwi. Serikali ya CCM imewageuza Madereva Kitega Uchumi.
Baadhi ya Madai yao ni pamoja na:
1. Kurenew leseni bila masharti wanayoyaona kuwa magumu.
2. Madereva wenye uzoefu wa zaidi ya miaka 15 kupewa utaratibu maalum wa renewal.
3. Kupunguza gharama za mafunzo/renewal ya leseni — madai yaliyotajwa yalieleza gharama ya takriban Sh 375,000 kuwa kubwa.
4. Kuboresha barabara, hasa malalamiko kuhusu ubovu wa miundombinu.
5. Masuala ya LATRA na ukaguzi barabarani — baadhi ya madereva wamekuwa wakilalamikia namna ukaguzi na utekelezaji wa kanuni unavyofanyika.
6. Kuongezwa kwa kima cha chini cha mshahara wa madereva, huku madai yaliyosambazwa yakitaja kutoka Sh 350,000 hadi Sh 1,000,000.
7. ICD za Dar es Salaam — kuna madai ya kuhamisha ICD kwenda Kwala ili kupunguza changamoto zinazowakabili madereva.
8. Mfumo wa pointi 15 kwenye leseni umeibua pia malalamiko ya madereva; hoja zilizotolewa ni kwamba makosa mengine yanaweza kusababishwa na mambo kama ubovu wa gari, barabara au alama za barabarani, ambayo si jukumu la dereva pekee. P
ok.Kama ilivyo tangazwa hapo awali,
Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori na Mabasi Nchi Nzima Tanzania.
Hivyo kama ni msafiri, tumia njia nyingine kama ndege, Treni au Meli hata Mtumbwi.
Asante.
Kuna watu wanahoji kwanini wanagoma?
Wanagoma kutoka na Utawala Mbovu usiotenda haki. Hawana mtetezi wa Madai yao hayasikilizwi. Serikali ya CCM imewageuza Madereva Kitega Uchumi. Tulishawaambia Serikali ya Awamu ya Sita ya Mzanzibari wenu Samia imepalalyze. Walichobakiza ni Vitisho vya kuteka na kuua watu.
Baadhi ya Madai yao ni pamoja na:
1. Kurenew leseni bila masharti wanayoyaona kuwa magumu.
2. Madereva wenye uzoefu wa zaidi ya miaka 15 kupewa utaratibu maalum wa renewal.
3. Kupunguza gharama za mafunzo/renewal ya leseni — madai yaliyotajwa yalieleza gharama ya takriban Sh 375,000 kuwa kubwa.
4. Kuboresha barabara, hasa malalamiko kuhusu ubovu wa miundombinu.
5. Masuala ya LATRA na ukaguzi barabarani — baadhi ya madereva wamekuwa wakilalamikia namna ukaguzi na utekelezaji wa kanuni unavyofanyika.
6. Kuongezwa kwa kima cha chini cha mshahara wa madereva, huku madai yaliyosambazwa yakitaja kutoka Sh 350,000 hadi Sh 1,000,000.
7. ICD za Dar es Salaam — kuna madai ya kuhamisha ICD kwenda Kwala ili kupunguza changamoto zinazowakabili madereva.
8. Mfumo wa pointi 15 kwenye leseni umeibua pia malalamiko ya madereva; hoja zilizotolewa ni kwamba makosa mengine yanaweza kusababishwa na mambo kama ubovu wa gari, barabara au alama za barabarani, ambayo si jukumu la dereva pekee. P
Jitahidi kufuatilia updatesNini kimetokea mkuu....
Sawa mkuu... wengine hatujui hata kinacho endelea..Jitahidi kufuatilia updates
Umesoma kweli kabla ya kuandika?Sawa mkuu... wengine hatujui hata kinacho endelea..