Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori na Mabasi. Epuka usumbufu

Mbona nipo kwenye basi naenda?
 
Safi mkuu watanzania tunapenda mazoea kwenye mambo yanayohitaji nidhamu ya kisheria.
sure gentleman,
ukifuatilia vizuri over 90% vyombo vyao vya usafiri havistahili kuoparate barabarani. Lakini si hivyo tu, maafisa usafirishaji wenyewe their are not competent na kabisa hawazingatii sheria bali ni ujanja unjanja tu kuanzia mwanzo hadi mwisho wa safari.

But anyway,
serikali sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu, itawakililiza na kusort issues zao na waTanzania waendelea kupata huduma πŸ’
 
Wakigoma week watasikilizwa hoja zao..!!
no,
it will not be taking a week,

the little issues of those Tanzanians hard workers, are going to be sorted out immediately today with serikali sikivu ya CCM, madam.

So,
Plz relax πŸ’
 
Wewe na serikali yako sikivu MKAKAZWE
that's completely useless,
ni muhimu sana kuzingatia ukweli mtupu kwenye reply yangu dhidi ya mihemko yako nonsense jukwaani na itapendeza zaidi, right?πŸ’
 
Lorry matairi Sita kipara mpaka spare imechoka na ana mzigo wa 40ton
Ajali ikitokea traffic anajiridhisha na kufikia maamuzi kuwa break zilifeli
Kwa kuwa kanyamazishwa

Yaani pande zote mbili ni balaa
 
Nchi inapoongozwa na watu wanye uwezo mdogo.

Hakuna aliye salama.
 
Katika taifa jepesi kuliongoza ni tanganyika. Ona chura aka kizimkazi yule EDA anakula na kusaza ikiwa watanganyika wanatabika uko mastendi. Bila hata mteule wake mmoja kufika hata pale magufuli terminal. Daaah nao wamelala tu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Lorry matairi Sita kipara mpaka spare imechoka na ana mzigo wa 40ton
Ajali ikitokea traffic anajiridhisha na kufikia maamuzi kuwa break zilifeli
Kwa kuwa kanyazishwa

Yaani pande zote mbili ni balaa
aise,
jamaa huwa wanajigomea na kujikomoa wenyewe kabisa aise, tukiangalia realities.

in fact,
ni ubishi na ubinafsi wa kijinga sana hawa majamaa wanataka kufanya, wakijidanganya kwamba hakuna wengine wa kufanya kazi zao ikiwa wao watagoma kwa visingizio vyao vya kibinafsi sana πŸ’
 
Nyuma ya huu mgomo kuna harakati za kisiasa? Za chama gani? Au hawa madereva wameamua kujipambania tu wenyewe? Wakifanikiwa tu makundi mengine nayo yataibuka kugoma kudai maslahi yao au kero zao ziondolewe. Migomo na maandamano ni ndugu!
 
Nyuma ya huu mgomo kuna harakati za kisiasa? Za chama gani? Au hawa madereva wameamua kujipambania tu wenyewe? Wakifanikiwa tu makundi mengine nayo yataibuka kugoma kudai maslahi yao au kero zao ziondolewe. Migomo na maandamano ni ndugu!
Tundu Lissu aliwahi kusema
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…