Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori na Mabasi. Epuka usumbufu

LOTH HEMA unanichekesha sana aise,

yaani hauna kifua kabisa gentleman. Na kwanini uko kwenye siasa sasa gentleman na unajijua kabisa wew ni bendi moja?
 
Mwambieni tumbotumbo stendi ya Mbezi mabasi hayatoshi na mengine yameshindwa kuingia hakuna nafasi..madhara ya kutumia utumbo mpana kufikiri ndio haya sasa
 
Stand ya Mbezi Magufuli Jijini Dar, muda huu Mabasi yamekosa Parking. Stand imekuwa ndogo.. Kuna namna Serikali iliangalie upya hili suala 📍
 
Mwambieni tumbotumbo stendi ya Mbezi mabasi hayatoshi na mengine yameshindwa kuingia hakuna nafasi..madhara ya kutumia utumbo mpana kufikiri ndio haya sasa
Walizingua sana. Mabasi yote hayawezi kujaa Mbezi
 
Hadi saa 8:30 mchana Mabasi ya Mikoani bado yamepaki Stendi ya Magufuli Dar Es Salaam.

Madereva hawapeleki magari barabarani Mpaka madai yao yasikilizwe
Your browser is not able to display this video.
 
Serikali isiwasikilize kabisa kwenye huo mfumo wa point 15 kwasababu madereva wa mabasi ni mabingwa wa kuvunja sheria barabarani. Ukisafiri na basi ukafika salama kwa sasa ni muujiza unaotakiwa kushukuru sana. Hali ni mbaya sana barabarani. Serikali iendelee kuwabana.
 
Yaani miaka zaidi ya sitini ya uhuru hakuna mtanzania mwenzetu yoyote mwenye akili ya kubuni njia sahihi na bora ya kutoa huduma za usafiri na usafirishaji?

Mkuu wa mkoa ni zero, meya naye zero yuko kweye malumbano ya kijinga, wakuu wa wilaya zero, maofisa mipango miji wamelala.

Jiji la Dar lahitaji clear organisation ya usafiri na usafirishaji kuundwe mfumo mpya kabisa from scratch.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…