Leo ni miaka 2 tokea kifo cha Hayati Magufuli

Mkuu una hasira bora ungeandika kitabu
 
Vyeti feki na wafanyakazi hewa viliongoza kwa kusababisha JPM achukiwe. Kwani yeye aliwaambia muwe na vyeti feki? Au akiwaambia muandikishe ajira hewa mchukue mishahara msiyoifanyia kazi? Na kula mishahara ya marehemu?
Aliwaambia msilipe kodi?
JPM alikuwa mzuri kwa Tanzania na its existence.
Marais wapole ni watamu kwa walioko serikalini, wafanyabiashara na mafisadi.
 
Ila tukubali tukatae, Magufuli ana nguvu sana hapa nchini!.
.
Yani wapinzani wake wanatumia nguvu sana kuzima kukubalika kwake
Nguvu kubwa sana. Mashoga kama mtoa mada yanaungana kupambana nae lakini wapi.
 
Tunakujua wewe ni chawa upo kazini
 
Uchumi na uchaguzi mkuu.
Kitu pekee Tanzania inajivunia ni Amani basi, hilo ndio pengine linaweza kuwa ndio mafanikio yetu na likawa hata mfano mzuri kwa mataifa mengine, ila hayo mengine tunaburuzana tu kama huo uchaguzi wengine tulishaacha kupiga kura toka kitambo kabla hata ya Magufuli.
 
Tunakujua wewe ni chawa upo kazini
 
Amani Magufuri amezaliwa Tanzania kaikuta imejaa tele na akaitumia hiyo hiyo amani vibaya kutesa wengine,na mwisho kafa na amani bado iko vile vile.
 
Kvp mkuu maana jinsi ilivyo elezwa hapo ina maana nchi ilikuwa haikaliki raia wanauliwa na kila sehemu ni uhalibifu hadi sasa tunaona maridhiano, sasa watu waliweza kupumbazwa vp na mtu ambaye alikuwa anawawinda kuwauwa na kuwatia kwenye viroba?
Kuna watu walikuwa hawaelewi yaliyokuwa yakitokea, walipumbazwa na uongo mwingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…