Vipi hapo kwanza umeshakula? Au njaa kali na hauwezi kupata 4500 ya maharage 😀 basi pumzika tu, oh nimesahau kumbe hauwezi kupumzika haujaoga wiki sasa maji ni mgao umeme mgao na hakuna kitu unaweza fanya 😀 basi changia hata tozo au tembelea hata wajane waliopoteza maisha na kudhulumiwa kwa tozo na huduma mbovu za afya huko ICU! Au wao sio watu pia? Basi tembelea hata machinga waliofukuzwa masokoni, Au weka namba zako basi na wewe ulambe asali 😀 au hauna vocha? Kuna watu wajinga, Ila mleta mada ni punguwani