Leo ni miaka 2 tokea kifo cha Hayati Magufuli

Mama Samia anaendelea kufunguka na kijitenga na JPM. Leo hakufika Chato na wala kusema lolote kuhusu huyo shujaa wa Genge S.
Anatakiwa ajitenge mazima tena mapema kuliko kuvizia na kufanya visasi vyake vya muda mrefu dhidi ya wazalendo halisi wa Tanzania. Akitoka kwenye hicho kiti akaishi asia maana zamu yake ya kubagazwa haijawahi kutokea.
 
Bunge huwa siku zote ccm ndio wengi na ndio wana nguvu ya maamuzi ya ndioooo. Sasa kama unaona kukosekana kwa akina Mbowe Lissu n.k ndio inafanya bunge kuwa hivi lilivyo basi bado upande wa bunge ni tatizo.
Akili yako iko chini ni wapi iliandikwa kuwa Bunge lazima liwe na Wabunge wa ccm tu?Ndiyo maana kila wakati watu wanamtukana marehemu bila sababu kwa sababu ya akili hizi za kipumbavu mpaka mje mpigane siku moja ndiyo mje mjue kuwa Bunge ni la Wananchi wote Watanzania na siyo bunge la ccm.
 
Hebu tuliza akili, nimekwambia miaka yote hii wabunge wa ccm ndio huwa wengi huko bungeni kuliko wabunge wa upinzani na wingi wao huwafanya kuwa na nguvu ya maamuzi. Lissu mwenyewe kaeleza hicho kitu kwamba bunge linamsikiliza Rais na miaka yote imekuwa hivyo.
 
Haya bwana.
 
Huyu mtu alikuwa dikteta na fisadi wa kutupwa. Bokasa na Idd Amini ni afadhali mara 1000!
 
Hakika mtu yule alikuwa mwovu sana
 
Kwani sheria inasemaje?
Hivi haiwezekani kupeleka muswada bungeni ili kufuta kumbukumbu zote za kwamba hili jitu lilishawahi kuwa Rais wa TZ?
 
Kwani sheria inasemaje?
Hivi haiwezekani kupeleka muswada bungeni ili kufuta kumbukumbu zote za kwamba hili jitu lilishawahi kuwa Rais wa TZ?
Nimecheka sana nilishawahi kuwaza hivi
 
Mwamba wa Karne, Shujaa wa Afrika. Rais bora kupata kutokea Tanzania baada ya Nyerere. Tutakuenzi daima Endelea kupumzika kwa amani🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…