Leo ni miaka 20 imepita tangu Marekani na Uingereza waivamie Iraq na kuivunja nchi hiyo mazima. Je, wataweza kuivunja Urusi vipande vipande?

Leo ni miaka 20 imepita tangu Marekani na Uingereza waivamie Iraq na kuivunja nchi hiyo mazima. Je, wataweza kuivunja Urusi vipande vipande?

Katika kitu ambacho Marekani ina kijutia ni kuivamia Iraq ,kuangushwa kwa Sadam kuliifanya Iran iwe na nguvu hapo mashariki ya kati.
 
Wewe na Elensky wote MAGAIDI [emoji34][emoji35][emoji16]
.
20230316_002537.jpg
 
Kwa nn asivunjwe ni suala la mda tuu
Russia itavunjwa vipi?

VIENNA (Reuters) - Russia will always remain important for Europe, Austria's foreign minister said, saying that to think otherwise was delusional.

Alexander Schallenberg also defended the country's second-biggest bank, Raiffeisen Bank International, saying it was unreasonable to single out the lender for doing business in Russia while so many other Western firms did the same.

"To think that there won't be Russia anymore and we can decouple in all areas is delusional," Schallenberg told Reuters, adding that while Austria would loosen ties this "can't happen overnight".

"Dostoyevsky and Tchaikovsky remain a part of European culture, whether we like it or not. It will continue to be our biggest neighbour. It will stay the second largest nuclear power in the world."

Austria, which has modelled itself as a bridge between east and west, turning its capital of Vienna into a magnet for Russian money, is also part of a wider Western alliance that has sanctioned Russia after its invasion of Ukraine.

Austria still imports Russian gas although it is seeking to reduce it over the coming years.

Source: Reuters
 
USA na washirika wake hawataweza kuifanya Urusi kama walivyoifanya Iraq.
Urusi inawashirika wengi na wenye nguvu kubwa.
Unajua china peke yake kijeshi, inaweza kudili vizuri TU na nchi zote za ulaya magharibi,na Urusi peke yake inaweza kudili vizuri TU na USA peke yake.
Sasa ukiongeza Iran na Korea Kaskazini Hali itakua mbaya sana upande wa NATO.
Kumbuka Amerika ya kusini mataifa mengi Yana mapenzi na Urusi na chuki na USA .
Afrika sehemu kubwa ni marafiki na Urusi na china na Korea Kaskazini toka enzi na enzi.
Mashariki ya kati mataifa mengi Yako na Urusi na hata Yale yaliyoonekana kua upande wa USA ni yalikua yakitishiwa TU na USA,mfano Saudia.
Asia nusu Urusi nusu Marekani.
Japan Yuko upande wa Marekani kijeshi Kwa sababu ya kumhofia china na Urusi.
Japan wanagombea kisiwa na Urusi na Wana bifu la asili na china.hivyo anategemea USA kama sapoti ikiwa vita itazuka baina ya Japan na china au Japan na Urusi.lkini kiukweli wajapan hawawapendi wamarekani,wanwaona kama wakoloni na wamewakalia kimabavu.

Hivyo kwa nje unaweza kudhani Urusi Hana washirika,lkn ukweli Urusi ana washirika wengi sana.

Pia ulaya wamemchoka marekani ila hawana namna ya kujitoa katika ukoloni wake.kasoro Uingereza na Poland TU ndio bado wanamhitaji USA .
Ndio maana wanataka kuachana na NATO na kuanzisha jeshi la EU.wapinzani wa mpango huo ni UK na Poland.
Ulaya wengi hawana tatizo na Urusi na ndio maana walikua wanafanya nae biashara miaka yote,mfano ni Nord stream.
USA akaona wivu akachochea vita ili kumharibia Urusi biashara.
Urusi nae Yuko ktk mpango wa kulipiza kisasi,anafanya kuuvuruga uchumi wa west yote,kuharibu nguvu ya USD,kuvuruga mahusiano ya kinyonyaji ya USA na mataifa mengine.
Ndio maana unaona Sasa nchi nyingi zinaenda kuachana na mataumizi ya USD na hata nchi zilizokua zinaonekana tiifu Kwa USA kama Saud Arabia.
Kuna wimbi kubwa sana la nchi zimeonesha Nia ya kujiunga Na Brics na jumuiya kama Shanghai cooperation.
Kwa kujibu Sasa swali lako ni kwamba USA Hana uwezo na wala hawezi kuifanya Urusi kama alivyofanya Iraq.
Zaidizaidi huenda yeye USA ndo inaenda kupoteza ushawishi wake na nguvu,hii hata zelensky ameshaionya USA.
Wasipokuelewa,daah!
20230304_215128.jpg
 
Back
Top Bottom