Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Nina muvie yake. Huyu jmaa ndo alimuua patrice lumumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukru sana kaka [HASHTAG]#lucas[/HASHTAG] Mobutu kiukwel umenifungua kwa hili! Be blessed sana broZaire haihusiani na familia ya mobutu,mama yake mobutu aliitwa "mama yemo" kuna hospitali pale kinshasa mobutu aliijenga na kuiita mama yemo kama heshima kwa mama yake,turudi maana ya "ZAIRE" imetokana na mto ulioitwa "nzele" maana yake mto unaomeza mito mingine,wa portugal walishindwa kutamka "nzele" wakasema "zaire" so likawa jina zaire,mobutu alipoingia na sera yake ya africanisation akaiita nchi ZAIRE akimaanisha mto mkubwa sana unaomeza mito midogo,watoto wake pia kama jean paul alibsdilishwa jina na kuitwa nyiwa,wengine ni ngawali,kongulu,nzaga,ndokula,giala ,manda n.k
Alikuwa rafiki yake mkubwa Sana, wakati hayati Habyarimana akiwa Dar kabla ndege yao haijatunguliwa, Mobutu alimpigia simu kumwonya asipande ndege hiyo, Habyarimana akachanganyikiwa, wakati akihangaika kuingia na kutoka nje ya ndege, vijana maalumu wa TISS, wakampigia simu Nyerere kumwambia, ndipo Nyerere akatoa agizo kuwa, akiingia tu tena ndani ya ndege mlango ufungwe haraka na kisha ndege iondoke hata kabla hajafunga mkanda.Kwanini majivu ya Habyermana yalihifadhiwa na Mobutu?
Habari zenu familia ya JF.
Wadau mtakumbuka bara hili liliwahi kutawaliwa na viongozi wadhalimu na Madikteta wa hatari. Zaire ama Congo DRC iliwahi kutawaliwa na Mobutu Sseseseko 1965 hadi 17/05/1997. Alipinduliwa na Laurence Kabila kwa msaada wa Banyamulenge wa Rwanda nyuma ya Kagame.
Huyu bwana alikuwa anajiita pia Kukungedu wa Zabanga, maana yake jogoo katikati ya majogoo. Alipora madini ya Zaire(Congo) kwa kuweka fedha za nchi kwenye akaunti yake binafisi. Alikuwa hanywi wala kuoga maji ya Congo DRC. Kulikuwa na ndege ya kuleta maji yake kila wiki kutoka Paris ufaransa.
Alipinduliwa akiwa mgonjwa wa kansa na wakati vuguvugu la mapinduzi likianza alikuwa yupo ufaransa matibabuni. Alijaribu kurejea nyumani kuzima uasi lakini jeshi lake lilikuwa dhaifu sana Mbele ya Banyamulenge wa Rwanda. Baada ya muda wa takribani miezi minane ya uasi kuanzia mash mwa nchi majeshi yalifika Kinshasa huko Magharibi na kutwaa dola.
Alikufa akiwa tajiri mkubwa sana. Alikufa tarehe 07/09/1997 huko Morocco na alizikwa Rabat mji mkuu wa Morocco na watu 15 tu wa familia yake baada ya serkali ya kabila kukutaa mwili wake kurejeshwa Congo kutokana na kuchukiwa sana na Wazaire/Wakongomani.
Mobutu alipenda sana kuvaa kofia makoti, kutumia fenicha na vifaa vingi vilivyotengenezwa kwa ngozi ya chui na alijitanabaisha kuwa na roho ya chui (Leopard spirit) kwa namna alivyoogopwa na kuwadhibiti vilivyo wapinzani wake wa kisiasa, baada ya kuondolewa madarakani na Laurent Kabila, Wakongomani walimpa heshima Kabila na kumpa hadhi iitwayo IKIBINDA NKOY yaani muuaji wa chui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika kuiprote Zaire duniani Mobutu aliitisha shindano la ngumi kati ya Mohamed Ali na mpiganaji mwingine mshindi aliondoka na $ 50 million huo ulikuwa mwaka 1976. Dunia nzima ilitune TV kuangalia ngumi za Kinshasa
Mkuu huyu wajeruman wanamuona shujaa aliyetukukaKuna wakati nilidhani wa Zaire walikuwa ama wajinga ama wazembe kuwa na kiongozi ka Mobutu !! Mhh nilidanganyika!!
Tanzania tuombe Mungu atunusuru na viashiria, najifunza kuwa hata ujerumani walifanya uchaguzi tena wa kidemocrasy kumpata Adolf Hitler aliyekuja kuwafanya mbaya
Cairo's
naomba ukipata muda tuwekee uzi wa kila mmoja na sisi wahenga wa 90's tujifunze, napenda sana kujua ya kale kabla sijakuwepo duniani.Mobutu, Idd Amin, Kamuzu Banda na Basiste wa Central Africa ninawajua vizuri sana
hapo kukiwa kuna foleni au ni free flow tu?!Ukiweka kwenye BREVIS unasikiliza toka KIMARA hadi Posta
alaaa kumbe hii ndio sababu ya M.A kwenda zaire kipindi kule.!!?Katika kuiprote Zaire duniani Mobutu aliitisha shindano la ngumi kati ya Mohamed Ali na mpiganaji mwingine mshindi aliondoka na $ 50 million huo ulikuwa mwaka 1976. Dunia nzima ilitune TV kuangalia ngumi za Kinshasa
ebu funguka chief...Alikuwa rafiki yake mkubwa Sana, wakati hayati Habyarimana akiwa Dar kabla ndege yao haijatunguliwa, Mobutu alimpigia simu kumwonya asipande ndege hiyo, Habyarimana akachanganyikiwa, wakati akihangaika kuingia na kutoka nje ya ndege, vijana maalumu wa TISS, wakampigia simu Nyerere kumwambia, ndipo Nyerere akatoa agizo kuwa, akiingia tu tena ndani ya ndege mlango ufungwe haraka na kisha ndege iondoke hata kabla hajafunga mkanda.
Ndivyo ilivyokuwa, Na kweli ndege ikaondoka.
Mobutu alikuwa na taarifa za kiintelijensi kuwa ndege ingelipuliwa na alizipata mara tu baada ya Habyarimana kuondoka Kigali kuja Dar.
Kuna mengi mno ya kutisha ila acha tu niishie hapa.
Safi sana mkuu,nina swali,je ni kweli kwamba mobutu nae alitakiwa kuja arusha kuhudhulia kile kikao na baadae apande hiyo hiyo ndege na kina habyarmana ?Alikuwa rafiki yake mkubwa Sana, wakati hayati Habyarimana akiwa Dar kabla ndege yao haijatunguliwa, Mobutu alimpigia simu kumwonya asipande ndege hiyo, Habyarimana akachanganyikiwa, wakati akihangaika kuingia na kutoka nje ya ndege, vijana maalumu wa TISS, wakampigia simu Nyerere kumwambia, ndipo Nyerere akatoa agizo kuwa, akiingia tu tena ndani ya ndege mlango ufungwe haraka na kisha ndege iondoke hata kabla hajafunga mkanda.
Ndivyo ilivyokuwa, Na kweli ndege ikaondoka.
Mobutu alikuwa na taarifa za kiintelijensi kuwa ndege ingelipuliwa na alizipata mara tu baada ya Habyarimana kuondoka Kigali kuja Dar.
Kuna mengi mno ya kutisha ila acha tu niishie hapa.
Nilishaweka kwenye jukwaani la historianaomba ukipata muda tuwekee uzi wa kila mmoja na sisi wahenga wa 90's tujifunze, napenda sana kujua ya kale kabla sijakuwepo duniani.
Muachage vya kuzua. Habyarimana aliuawa mwaka 1994. Wakati huo Nyerere alikuwa mstaafu analima kijijini kwake Butiama, na akiwa Dar aliishi kwake Msasani, hakuwa na mamlaka tena juu ya hiyo TISS.Alikuwa rafiki yake mkubwa Sana, wakati hayati Habyarimana akiwa Dar kabla ndege yao haijatunguliwa, Mobutu alimpigia simu kumwonya asipande ndege hiyo, Habyarimana akachanganyikiwa, wakati akihangaika kuingia na kutoka nje ya ndege, vijana maalumu wa TISS, wakampigia simu Nyerere kumwambia, ndipo Nyerere akatoa agizo kuwa, akiingia tu tena ndani ya ndege mlango ufungwe haraka na kisha ndege iondoke hata kabla hajafunga mkanda.
Ndivyo ilivyokuwa, Na kweli ndege ikaondoka.
Mobutu alikuwa na taarifa za kiintelijensi kuwa ndege ingelipuliwa na alizipata mara tu baada ya Habyarimana kuondoka Kigali kuja Dar.
Kuna mengi mno ya kutisha ila acha tu niishie hapa.
Hao watoto wake wako hai mpka sasa? Na kama ndivyo wanaishi wapi?Usisahau alikuwa anaenda kunyoa Ubelgiji na watoto wake walikuwa wanasoma Ufaransa kila Weekend wanarudi.
Ila hakusema kwa kujiamini, kama utakumbuka alisema labda mnitilie fitna(sikumbuki neno kwa neno) ndio sitaweza kuishi.Hata Nyerere, miaka miwili kabla ya kifo chake, katika sherehe ya kuadhimisha miaka 75 ya kuzaliwa, alisema ana afya nzuri sana na kwamba ANA UHAKIKA ataishi kumuona rais wa awamu ya nne! Naye pia alipougua hakupona. Mungu hadhihakiwi!