Leo ni miaka 20 tangu kufariki kwa Rais Mobutu Seseseko Kukungedu Wanzabanga wa Zaire ya Zamani(Congo DRC)

Leo ni miaka 20 tangu kufariki kwa Rais Mobutu Seseseko Kukungedu Wanzabanga wa Zaire ya Zamani(Congo DRC)

Katika kuiprote Zaire duniani Mobutu aliitisha shindano la ngumi kati ya Mohamed Ali na mpiganaji mwingine mshindi aliondoka na $ 50 million huo ulikuwa mwaka 1976. Dunia nzima ilitune TV kuangalia ngumi za Kinshasa
Alikuwa abajaribu kujenga kingdom yake huku akiisimamisha kwenye misingi ya uongo.

Alikufa mpweke sana na maisha yale yalimsaidia kuwahi kufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu familia ya JF. Wadau mtakumbuka bara hili liliwahi kutawaliwa na viongozi wadhalimu na Madikteta wa hatari. Zaire ama Congo DRC iliwahi kutawaliwa na Mobutu seseseko 1965 hadi 17/05/1997. Alipinduliwa na Laurence kabila kwa msaada wa Banyamulenge wa Rwanda nyuma ya Kagame. Huyu bwana alikuwa anajiita pia kukungedu wa Zabanga, maana yake jogoo katikati ya majogoo...
Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa Za Banga
 
Mobutu alikuwa na uwezo mkubwa sana wa lugha za ki Belgium katika kuongea na kuandika na hii ilimsaidia kupost articles zake kwenye gazet akiwa jeshini. Baada ya kuhitimu aliajiriwa kama reporter msaidizi wa gazeti moja na baada ya hapo alipelekwa France kwa mafunzo zaidi ambako alikutana na Patrice Lumumba akiwa kiongozi wa chama cha ukombozi. Kwa uchangamfu wa Mobutu aliweza kumshawishi Lumumba kuwa anafaa kuwa katibu wa chama mengine ni kama mnavyoyajua tena
 
Mobutu alimuoa mke wake wa kwanza Antonella Mara baada ya kumaliza mafunzo ya jeshi akiwa na cheo cha Askari wa kawaida. Mshahara wake haukuwa mkubwa, baada ya kulipa mahari hela ilitosha sanduku moja la bia na hiyo ndiyo ilikuwa reception. Alikataa kabisa kuoa kanisani
 
Huyu jamaa alikuwa kiboko kaacha Mali nyingi familia yake haiwezi kuwa masikini watoto wengine wako morocco na wengine Paris pia yupo kijana wake anaitwa nzanga Mobutu ni waziri

Sent using Jamii Forums mobile app
Alishajiuzulu siku nyingi ili apambane kisiasa dhidi ya kabila. Alikuwa waziri wa Kilimo
 
Gbadolite ni kijiji alikozaliwa na alijenga hekalu kubwa la marumaru . Nadhani liligeuka kuwa nyumba ya polo tu hakuwahi kuishi huko.Muda mwingi akiwa kwenye boti take mwenye MTO Congo akaitwa the floating president . Mauzo ya bidhaa nchi za nje aliamuru katika kila mia(100) zake 33 halafu 67 ndio waziri apange bajeti ya taiga. Na Jirani take Wa kusini magharibi inasemekana anachukua dola moja kwa kila pipa na inasemekana anaongoza kwa utajiri viongozi Wa Africa labda nguema wa Eq. Guinea ndiowanachuana . Africa Renaissance bado sana . Giza hili jua litakucha link yarabi .kukabidhi hyena alinde butcher ? Bado sana .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom