Leo ni miaka 20 tangu kufariki kwa Rais Mobutu Seseseko Kukungedu Wanzabanga wa Zaire ya Zamani(Congo DRC)

Leo ni miaka 20 tangu kufariki kwa Rais Mobutu Seseseko Kukungedu Wanzabanga wa Zaire ya Zamani(Congo DRC)

LE maréchal Mobutu. Jamaa alikuwa anatukuzwa kweli kweli. Angalia documentary ya Mobutu le Roi du Zaïre. Ila mwisho wake ulikuwa mbaya sana. Mseveni na Kagame walimsaidia Kabila kuichukua Kinshasa. Mobutu ndo ukawa mwisho wake.
 
Alimkamata hayati Fránco Luambo Màkiadi kipindi hiko anajifanya kumkosoa kwenye nyimbo zake akamtia jela akamwambia atumie akili yake kutafuta kitu kitakachomfurahisha ili amwachie huru ndipo Frànco akamtungia hiki kibao kumfagilia,alifurahi mno akamtoa na kwenda kumfanyia Frànco party ikulu kisha kumwachia huru.

sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
HII KITU NI YA UKWELI MNO
 
Kuna wakati nilidhani wa Zaire walikuwa ama wajinga ama wazembe kuwa na kiongozi ka Mobutu !! Mhh nilidanganyika!!

Tanzania tuombe Mungu atunusuru na viashiria, najifunza kuwa hata ujerumani walifanya uchaguzi tena wa kidemocrasy kumpata Adolf Hitler aliyekuja kuwafanya mbaya

Cairo's
Hitler hakuwahi shinda uchaguzi, watu walikuwa wanamshitukia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom