Leo ni miaka 20 tangu kufariki kwa Rais Mobutu Seseseko Kukungedu Wanzabanga wa Zaire ya Zamani(Congo DRC)

Leo ni miaka 20 tangu kufariki kwa Rais Mobutu Seseseko Kukungedu Wanzabanga wa Zaire ya Zamani(Congo DRC)

Kwa kungezea tu!

Tarehe 24/10/1999 kule Kijijini Butiama wakati tunamzika Baba wa Taifa letu Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Rais wa wakati huo na mpaka sasa wa Uganda Mh. Yoweri Kaguta Museveni alitoboa siri kuwa Cordinator na Mtoa wazo na mfanikishaji Mkuu wa Azimio na baadae Mkakati wa kumuondoa Mdikteta Mobutu Seseseko alikuwa Ni Mwl Nyerere
 
Mke wake wa kwanza Antonella alikufa baada ya kupigwa mpaka kupoteza fahamu akiwa njamzito. Ingawaje aliwahishwa hospital Belgium lakini mauti yalimfika
Alipigwa na nani? Hakuwa na ulinzi
 
Alikuwa anaitwa Joseph Mobutu akaamua kubadili jina pia kuwaamuru wazaire wote kuachana majina ya Kizungu. Fuatilia majina ya Wanamuziki wa Congo hapo zamani utagundua
Hasira hii ni baada ya kutoroka shule akiwa anafanya O- levels na kwenda kwa girlfriend. Ilikuwa shule ya RC adhabu yake iliamuriwa aende jeshini baada ya mitihani ndiyo ukawa mwanzo wa kuchukia dini
 
Back
Top Bottom