Gerasmus
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 400
- 343
Basiste au Bashite umepitiwa?Mobutu, Idd Amin, Kamuzu Banda na Basiste wa Central Africa ninawajua vizuri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basiste au Bashite umepitiwa?Mobutu, Idd Amin, Kamuzu Banda na Basiste wa Central Africa ninawajua vizuri sana
Ni Basiste Bokhasa aliebadili dini baada ya kupewa msaada na GaddafihBasiste au Bashite umepitiwa?
Nadhani ndicho kimesababisha mwisho wakeMobutu aliishi wewe
, vinywaji vyake vyote kuanzia wine whiskey brandy vilitoka France pamoja na nyama za kisindika vilipelekwa Zaire na Concorde
Kuna majitu msipojadili kisiasa hamjisikiiKuna wakati nilidhani wa Zaire walikuwa ama wajinga ama wazembe kuwa na kiongozi ka Mobutu !! Mhh nilidanganyika!!
Tanzania tuombe Mungu atunusuru na viashiria, najifunza kuwa hata ujerumani walifanya uchaguzi tena wa kidemocrasy kumpata Adolf Hitler aliyekuja kuwafanya mbaya
Cairo's
DuhKuna mtoto wa Mobutu anaitwa Okongo sasa hivi anauza bar kama waiter!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetisha[emoji1] [emoji1] [emoji1]Wengi walikufa kwa ngoma
Mtu fulani naye ni tajiri sana eeehRoho yake imemvaa mtu flani
Rumble in the Junglealaaa kumbe hii ndio sababu ya M.A kwenda zaire kipindi kule.!!?
kuna video nimeona mohammed alienda zaire, aisee.!
Hata nao wana fitinianaebu funguka chief...
kwanini nyerer aliamuru huyo jamaa aingie na ndege iondoke ilhali kulikuwa na tetesi za kutunguliwa?
TISS walihusika vipi?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] ilikuwaje hiiNi Basiste Bokhasa aliebadili dini baada ya kupewa msaada na Gaddafih