Leo ni miaka 20 tangu kufariki kwa Rais Mobutu Seseseko Kukungedu Wanzabanga wa Zaire ya Zamani(Congo DRC)

Leo ni miaka 20 tangu kufariki kwa Rais Mobutu Seseseko Kukungedu Wanzabanga wa Zaire ya Zamani(Congo DRC)

Kwa mujibu wa maisha ya Mobutu, nimejifunza kuwa Wazungu (esp. France) siyo rafiki wa kweli kwa makoloni yake Afrika.
 
Kuna wakati nilidhani wa Zaire walikuwa ama wajinga ama wazembe kuwa na kiongozi ka Mobutu !! Mhh nilidanganyika!!

Tanzania tuombe Mungu atunusuru na viashiria, najifunza kuwa hata ujerumani walifanya uchaguzi tena wa kidemocrasy kumpata Adolf Hitler aliyekuja kuwafanya mbaya

Cairo's
Kuna majitu msipojadili kisiasa hamjisikii
 
Back
Top Bottom