Leo ni miaka 37 ya kifo cha Bob Marley

Katika group yoyote iwe ni music au hata mipira....lazma kuna mmoja ata shine na ku mask wengine sababu ya nyota hata kama ana talent ya kawaida tu.Kuna watu wamepewa kibali sana cha kukubalika mapachoni na mioyoni mwa watu.Ni karama toka kwa Mungu
 
Ukiangalia East coast team enzi za GK..Fa na AY....GK alikuwa kama ndo mwenye kundi...na maarufu sana sasa ona aliko now na ufananishe na hao wenzie
 
Ukiangalia East coast team enzi za GK..Fa na AY....GK alikuwa kama ndo mwenye kundi...na maarufu sana sasa ona aliko now na ufananishe na hao wenzie
Haha Mkuu aisee umetoa mfano mmoja mzuri sana hata mtu mwenye akili finyu kama John Pombe anaweza kuelewa..
 
They were all gifted and by far too realistic musically and socially.Sioni namna likatokea tena kundi kama lile.Come to think of this brother,the boys had only an elementary education but they were able to think and write things that would take a century for a professor to write.THEY WERE THE BEST OF THEIR KIND!!
 
Kuna pick myself up pia ya Tosh,ni hatari sana hiyo ndugu
 
Mmeshawahi kusoma hiki kitabu wapenzi wa reggae?kimechambua vizuri sana imani ya kirasta,harakati zao,muziki na mengine meeeengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…