Leo ni miaka 37 ya kifo cha Bob Marley

Leo ni miaka 37 ya kifo cha Bob Marley

Siwezi kumchanganya Marley na takataka zozote zile hapa nyumbani Tanganyika ama ughaibuni!

Yes he was unique n good too...very good indeed, undeniably!
Ila overrated as kwenye the Wailers, Bunny Wailer na Peter Tosh were far better than him, truth be told!

Sema naamini umaarufu wa Marley uliovershadow vipaji halisi vya wale Wailers wengine(Tosh na Bunny)..

Simaanishi Marley ni mbovu no waay! He was one of a kind....ila in my opinion, Bunny Wailer is the ever ktk Reggae.
Bob Marley was not even close to Peter Tosh, who is far behind Bunny Wailer.

Ila All in All, those 3 motherfuckers were the best we ll never get again mpaka tunakufa....
Katika group yoyote iwe ni music au hata mipira....lazma kuna mmoja ata shine na ku mask wengine sababu ya nyota hata kama ana talent ya kawaida tu.Kuna watu wamepewa kibali sana cha kukubalika mapachoni na mioyoni mwa watu.Ni karama toka kwa Mungu
 
Siwezi kumchanganya Marley na takataka zozote zile hapa nyumbani Tanganyika ama ughaibuni!

Yes he was unique n good too...very good indeed, undeniably!
Ila overrated as kwenye the Wailers, Bunny Wailer na Peter Tosh were far better than him, truth be told!

Sema naamini umaarufu wa Marley uliovershadow vipaji halisi vya wale Wailers wengine(Tosh na Bunny)..

Simaanishi Marley ni mbovu no waay! He was one of a kind....ila in my opinion, Bunny Wailer is the ever ktk Reggae.
Bob Marley was not even close to Peter Tosh, who is far behind Bunny Wailer.

Ila All in All, those 3 motherfuckers were the best we ll never get again mpaka tunakufa....
Ukiangalia East coast team enzi za GK..Fa na AY....GK alikuwa kama ndo mwenye kundi...na maarufu sana sasa ona aliko now na ufananishe na hao wenzie
 
Haha Mkuu aisee umetoa mfano mmoja mzuri sana hata mtu mwenye akili finyu kama John Pombe anaweza kuelewa..
 
Siwezi kumchanganya Marley na takataka zozote zile hapa nyumbani Tanganyika ama ughaibuni!

Yes he was unique n good too...very good indeed, undeniably!
Ila overrated as kwenye the Wailers, Bunny Wailer na Peter Tosh were far better than him, truth be told!

Sema naamini umaarufu wa Marley uliovershadow vipaji halisi vya wale Wailers wengine(Tosh na Bunny)..

Simaanishi Marley ni mbovu no waay! He was one of a kind....ila in my opinion, Bunny Wailer is the ever ktk Reggae.
Bob Marley was not even close to Peter Tosh, who is far behind Bunny Wailer.

Ila All in All, those 3 motherfuckers were the best we ll never get again mpaka tunakufa....
They were all gifted and by far too realistic musically and socially.Sioni namna likatokea tena kundi kama lile.Come to think of this brother,the boys had only an elementary education but they were able to think and write things that would take a century for a professor to write.THEY WERE THE BEST OF THEIR KIND!!
 
Kweli Mkuu...and divide n rule ilifanya kazi vizuri sana mpaka Bunny na Tosh wakaondoka Wailers....ila tukiacha sababu kua wakoloni unaona nani alikua mkali zaidi kwenye Wailers?

Em skiliza hizi ngoma za Bunny, Here in jamaica, Old Dragon na Rock n Groove halafu uniambie ni nyimbo gani za Marley zinaweza kumatch uwezo halisi wa Bunny.

Ila again all in all, wote walikua vizuri sana sana tu ila tukisema uwezo wa mmoja kwa mmoja Naamini Bunny ni zaidi ya wote, then Tosh ndo Marley.

N.B Bunny Wailer mpaka leo yupo hai kazaliwa 1947 na ni mvutaji mkubwa sana wa Bangi na ameishi miaka mingi ambayo wengi wetu tunaweza tusije kuifikia kuishi so wale wanaosema Bangi ni madawa ya kulevya wamskilize Peter Tosh.....legalize it and I'll advertise it.

Fidel Castro aliishi miaka 90 na alikua mvutaji mkubwa....
(Humanity )
Kuna pick myself up pia ya Tosh,ni hatari sana hiyo ndugu
 
Mmeshawahi kusoma hiki kitabu wapenzi wa reggae?kimechambua vizuri sana imani ya kirasta,harakati zao,muziki na mengine meeeengi.
20171119_102102.jpg
 
Back
Top Bottom