Leo ni miaka 37 ya kifo cha Bob Marley

Hata mm ni old skul reader sema nilitaka pdf nikaprint fasta
Sema ntasearch google....author ni nani?
Kumbe ni mpenda vitabu kama mimi,basi tuko pamoja hakika!naamini uki-search unakipata.Kuna kingine kinaitwa Marley And Me,nimemsahau mwandishi,jaribu pia kukitafuta na hicho
 
Ukikipata na hiki itakuwa burudani sana.Hakihusiani na Rastafari ila kina mambo mengi mtu anapaswa ajifunze!View attachment 776071
Kumbe ni mpenda vitabu kama mimi,basi tuko pamoja hakika!naamini uki-search unakipata.Kuna kingine kinaitwa Marley And Me,nimemsahau mwandishi,jaribu pia kukitafuta na hicho
Ngoja nitavisearch nikikosa nitaenda kwenye Rastafarian Shop kama ntaweza kukipata..
Napenda kusoma vitabu kama ivo...
 
Here Comes the Judge ya Tosh imagine ndo inafanyiwa application hapa Tanganyika...wangenyongwa wengi sana.
The song is very funny!
Aisee bro,hawa jamaa (wailers) walikuwa na akili sana,japo hawakuwa na elimu kubwa lakini uwezo wao wa kufikiri ulikuwa mkubwa saaaaaana.Nimeusikiliza huu wimbo wa Here Comes The Judge wa Tosh daah,hii idea ya kipekee sana.
Silence in the court
The court is in the session

Hahaaaa,sijui kwanini wasanii wetu wa kizazi hiki hawawezi kuwaza vitu kama hv!!
 
Kwa kizazi hiki mkuu no way...
Wanamuziki hawana vipaji halisi tena so wanachofanya ni kutumia makalio ya wanawake ili video zao zitazamwe kwa wingi kwnye youtube kwa maana wanajua fika hakuna mtu timamu anayeweza kua na audio zao....
Siku izi hakuna music tena mkuu...zaid ya kutuonesha makalio basi
 
Tosh alikua anajua sana, kuna tetesi kwamba wazungu walimnyanyua bob kwa sababu alikuwa na na asili ya kizungu. Criss Blackwell amewahi kusema tosh alikuwa mkorofi tena mbishi asiye taka kupangiwa mambo, tofauti na bob alikuwa mpole na mvumilivu.
 
Umezungumza kweli kabisa.Yaani ukisikiliza wimbo wa Harmonize idea ni ileile kama ya Diamond,melody ni hiyohiyo,beat ni hiyohiyo,cha ajabu zinavuma.Tupo kwenye kizazi cha ajabu sana.Wasanii wengi hawako real,maisha ya kuigiza.Fikiria the wailers pamoja na mafanikio makubwa ya muziki wao lakini hawakuwa na show offs katika maisha yao ya kawaida.
 
Tosh alikua anajua sana, kuna tetesi kwamba wazungu walimnyanyua bob kwa sababu alikuwa na na asili ya kizungu. Criss Blackwell amewahi kusema tosh alikuwa mkorofi tena mbishi asiye taka kupangiwa mambo, tofauti na bob alikuwa mpole na mvumilivu.
Sio kweli Mkuu...
Iko hivi...Bunny aliondoka the Wailers 1973 baada ya kukataa kwnda America kufanya shows kwnye freak clubs izi strippers club mana ni kinyume na imani yake ya Rastafarian...kumbuka yeye ndo alikua spiritual leader wa Wailers.

Tosh alikua anachukia baada ya Wailers kua maarufu kimataifa attention ya Blackwell ikawa kwa Marley plus Blackwell alimkatalia Tosh kutoa Solo Album so wakawa wanafeel magnalized ktk kundi...ndo wakaamua kujitoa Wailers na kufanya solo carrier.

Ishu ya kusema sijui eti ana asili ya kizungu ndo mana izo ni story za kwenye vijiwe vya kahawa...tena wazungu wanapenda talents kweli kwel mana wanajua hapo kuna hela hawaangalii una rangi gani.

Ndo ile walikua wanasema eti Mike Tyson wazungu ndo walimpoteza kwnye ngumi baada ya kua anawapiga sana....
Wakati aliyemtoa Mike mtaani mpaka duniani alikua ni mzungu mmoja Cuss De'amato ambaye alikua ndo Godfather wake na baada ya kufa ndo Mike akaanza kupotea.

HBO tv inamilikiwa na wazungu ..walimpigania sana Mike atoke gerezani maana alikua anawaingizia hela kweli kweli ndo mana akawai kutoka mapema miaka 3 badala ya 6.

So achana na tetesi jifunze kusoma
 
Kumbe bado unasikiliza izo takataka mkuu.
Kama unapenda vya nyumbani nakushauri sikiliza Jagwa Music ama wakina Vitali Maembe au Carola Kinasha
 
Mkuu sibishani nawewe but tulia tujifunze wote, wazungu bado wanaubaguzi wasiri sana usipokua makini ni ngum kugundua, Criss Blackwell baada yakuingia mkataba na the wailers kurecodi zile album kumi, kwenye cover ya album alikua anaandika Bob Marley and the wailers na hii ilimfanya bob ajulikane zaidi. Nakweli alijulikana sana maana kunawati wakienda tour mashabiki walikuwa wanaimba jina la bob tu! Tosh kwakua alikua hapendi ubabaishaji aliamua kujiondoa kwa sababu kama ninyimbo wanatunga wote bob kazi yake ni kuimba tu kwa vile sauti yake ilikuwa ni nzuri zaidi. Tosh baada ya kujiondoa the wailers, media za wazungu zilianza kumnanga kwamba tosh bangi imemwathiri na anaelekea kuchanganyikiwa.
 
...ndo mana nikasema kua baada ya Wailers kua maarufu kimataifa, Tosh alikua anafeel kutengwa...na alikua sahihi maana huwezi kumlinganisha Marley na Tosh...Tosh kamuacha mbali sana Marley...mbali sana sema umaarufu Marley ndo alikua nao mwingi..
Bob Kwa sauti nzuri...haha na Bunny Wailer utasema ni zaidi ya nzuri basi.

Ukitaka kujua Bob ni pimbi kwa Bunny basi skiliza Original version ya No Woman, No(dont) cry ya Bob afu skiliza version ya Bunny Wailer uje unipe mrejesho.

Kama humjui Bunny vizuri kaskilize hizi nyimbo zake 3 urudi tena
1.Here in Jamaica
2.Rock n Groove na
3.Old Dragon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…