Mkuu sibishani nawewe but tulia tujifunze wote, wazungu bado wanaubaguzi wasiri sana usipokua makini ni ngum kugundua, Criss Blackwell baada yakuingia mkataba na the wailers kurecodi zile album kumi, kwenye cover ya album alikua anaandika Bob Marley and the wailers na hii ilimfanya bob ajulikane zaidi. Nakweli alijulikana sana maana kunawati wakienda tour mashabiki walikuwa wanaimba jina la bob tu! Tosh kwakua alikua hapendi ubabaishaji aliamua kujiondoa kwa sababu kama ninyimbo wanatunga wote bob kazi yake ni kuimba tu kwa vile sauti yake ilikuwa ni nzuri zaidi. Tosh baada ya kujiondoa the wailers, media za wazungu zilianza kumnanga kwamba tosh bangi imemwathiri na anaelekea kuchanganyikiwa.