Leo ni miaka 6 tangu Tundu Antipas Lissu ashambuliwe kwa risasi na Watu wasiojulikana

Leo ni miaka 6 tangu Tundu Antipas Lissu ashambuliwe kwa risasi na Watu wasiojulikana

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mungu wa mbinguni mbariki sana Tundu Antipas Lissu Ili siku moja aliongoze Taifa Hili

Tundu Antipas Lissu ni Muujiza Unaoishi

Mungu wa mbinguni awabariki sana wote mlioshiriki kuutetea Uhai wa jasiri Tundu Antipas Lissu

Zaidi soma - DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Gari Lissu.jpg

Muonekano wa Gari alilokuwa anatumia Tundu Lissu siku aliyoshambuliwa
 
Duh, kumbe muda umeenda sana, yaani tayari miaka sita imeshafika?

Unaweza kusema tukio limetokea jn, sema nn sababu mlengwa bado anaishi pengine ingekuwa kama wafilisti walivyodhamiria angekuwa ameshasahaulika.

Mungu aendelee kumpa afya njema[emoji120]
 
Muonee huruma yule aliyejaribu kumuua lakini yeye ndio akafa
Hata ww ukileta za kuleta Unashugulikiwa tu. Msaliti na Gaidi ni masaliti tu.

Gaidi wewe. Uliona wapi mfu anaonewa huruma.

Pyu pyu pyu pyu
 
Mungu wa mbinguni mbariki sana Tundu Antipas Lisu Ili siku moja aliongoze Taifa Hili

Tundu Antipas Lisu ni Muujiza Unaoishi

Mungu wa mbinguni awabariki sana wote mlioshiriki kuutetea Uhai wa Jasiri Tundu Antipas Lisu
Ambariki msaliti in walinda legacy's voice? Including wewe?
 
Mungu wa mbinguni mbariki sana Tundu Antipas Lissu Ili siku moja aliongoze Taifa Hili

Tundu Antipas Lissu ni Muujiza Unaoishi

Mungu wa mbinguni awabariki sana wote mlioshiriki kuutetea Uhai wa jasiri Tundu Antipas Lissu
JESHI LA NCHI YENYE WATU MIL 61 LIMESHINDWA KABISA KUWAKAMATA WAHARIFU
 
Kama lile gaidi la Chato lilivyoshugulikiwa kisha mwili wake kutembezwa Tanzania nzima ili kila mtu ashuhudie
Hivi kuna mtu ambaye ana tembezwa Tanzania nzima kama Tundu Lissu ili Wananchi waende kushangaa na kumuonea huruma tu....
Hivi unajua CHADEMA walishampachika Lissu kuwa ni "Kivutio" chao? Aisee

Huo ni Ukweli sasa weye, weye

Wewe ni Muongo, Mwili wa Hayati Raisi JPM haukutembezwa Tanzania Nzima.
 
Duh, kumbe muda umeenda sana, yaani tayari miaka sita imeshafika?

Unaweza kusema tukio limetokea jn, sema nn sababu mlengwa bado anaishi pengine ingekuwa kama wafilisti walivyodhamiria angekuwa ameshasahaulika.

Mungu aendelee kumpa afya njema[emoji120]
Tungepata waandishi wazuri wanaofanya na tafiti wangetuandikia kitabu ili kuhifadhi kumbukumbu na pia kujifunza mbinu zinazotumiwa kuua watu
 
Unamuuliza nan wee mfuasi wa shujaa? Huu ni wimbo mliuimba sana kipind kile na hata shujaa wako aliuimna na ulikua unasapoti!! Now unataka ku escape!!
Shujaa Magufuli hakuwahi kumwamini Lisu hivyo Lisu hawezi kuwa Msaliti wa Magufuli

Mbowe alimwamini Zitto Kabwe Kwahiyo Zitto alimsaliti Mbowe

Hakunaga Usaliti pasipo na Imani😀
 
Mie nahisi ni watu wa upande ulee ndo walihusika na walaaniwe walaaaaniweeee
 
Back
Top Bottom