Leo ni miaka 6 tangu Tundu Antipas Lissu ashambuliwe kwa risasi na Watu wasiojulikana

Mungu apewe sifa na utukufu, Lissu endelea kulisaidia Taifa lako.
 
Mungu wa mbinguni mbariki sana Tundu Antipas Lissu Ili siku moja aliongoze Taifa Hili

Tundu Antipas Lissu ni Muujiza Unaoishi

Mungu wa mbinguni awabariki sana wote mlioshiriki kuutetea Uhai wa jasiri Tundu Antipas Lissu

Zaidi soma - DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

View attachment 2741765
Muonekano wa Gari alilokuwa anatumia Tundu Lissu siku aliyoshambuliwa
Miaka 6 tangu tukio. Lakini bado kuna siri kubwa kuhusu dereva. Hivi ni mimi peke yangu nisiyejua dereva alipo muda wote huo? Mwanzoni tuliambiwa anatibiwa (anapewa psychological treatment) Nairobi. Baadaye akaenda Ubelgiji pamoja na Lisu. Lisu mwenyewe akawa anarudi Tanzania mara kwa mara na hivi sasa anadiriki hata kufanya mikutano ya hadhara bila kudhuriwa na yo yote. Ni kitu gani kizito hicho kinachomfanya dereva asite kurudi Tanzania? Ni nani anayemgharamia kuishi huko ughaibuni siku zote hizo?
 
Ukijificha kwenye hoja ya dreva wa Lissu kwenye hoja ya Tundu Lissu kushambuliwa utakuwa una akili ndogo kama ya mende. Mende hula kabatini lakini huishi kwenye mutaro michafu.

Dreva wa Lissu alikuwapo Nairobi kwa matibabu zaidi ya miezi 3, kwa nini Simon Sirro kama IGP asingepata maelezo yake kupitia Interpol?

Je hakukuwa njia nyingine yeyote ya kuupata ukweli wa mashambulizi yake mpaka umpate Dreva? Vipi kama Dreva angekufa kwenye lile shambulio? Ina maana Polisi wasingeendelea na uchunguzi?

Usilifanye Jeshi letu la Polisi lionekane la kijinga, bali wewe ndiye mjinga. Akili ya mende
 
Miaka 6 tangu tukio. Lakini bado kuna siri kubwa kuhusu dereva. Hivi ni mimi peke yangu nisiyejua dereva alipo muda wote huo? Mwanzoni tuliambiwa anatibiwa (anapewa psychological treatment) Nairobi. Baadaye akaenda Ubelgiji pamoja na Lisu. Lisu mwenyewe akawa anarudi Tanzania mara kwa mara na hivi sasa anadiriki hata kufanya mikutano ya hadhara bila kudhuriwa na yo yote. Ni kitu gani kizito hicho kinachomfanya dereva asite kurudi Tanzania? Ni nani anayemgharamia kuishi huko ughaibuni siku zote hizo?
Dereva wa Lisu alisoma huko huko Ubelgiji akapewa uraia na ameajiriwa

Ana maisha mazuri kuliko Wabunge wa Bongo!
 
Mungu wa mbinguni mbariki sana Tundu Antipas Lissu Ili siku moja aliongoze Taifa Hili

Tundu Antipas Lissu ni Muujiza Unaoishi

Mungu wa mbinguni awabariki sana wote mlioshiriki kuutetea Uhai wa jasiri Tundu Antipas Lissu

Zaidi soma - DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

View attachment 2741765
Muonekano wa Gari alilokuwa anatumia Tundu Lissu siku aliyoshambuliwa
Daah! Wakubwa wanakulaga raha sana 😅🙏
Angalia mchuma ulivyotulia !!
Tatizo ni kwamba huwa hawatosheki na huwa wanafanyiana ukatili sometimes 🙄😱
Kweli Lissu ni muujiza unaoishi !
 
Hawa majamaa walivyo weupe vichwani kuwakilisha Tz nchi mhimu ni janga.

1. Ujerumani - HASSAN MWAMWETA
2. Austria - NAIMI AZIZI
3. Uswizi - SALEH POSSI
4. Uturuki - IDDI BAKARI
5. Ufaransa - ALI MWADINI
6. Urusi - IBRAHIM KIBUTA
7. Italia - MAHMOUD KOMBO
8. Ubelgiji - ABOUK NYAMANGA

9. Uingereza - MBELWA KAIRUKI
10. Uholanzi - CAROLINE CHIPETA
11. Uswidi - GRACE OLOTU

Hizi ni nchi za kimkakati za Asia na baadhi Afrika.

12. Oman - FATMA RAJAB
13. Sudan - HAJI KOMBO
14. Malaysia - MAHADHI MAALIM
15. UAE (Abu Dhabi)- MOHAMED MTONGA
16. Japan - BARAKA LUVANDA
17. Korea - TOGOLANI MAVURA
18. UAE (Dubai) - YACUB MOHAMMED
19. Kuwait - SAID MUSSA
20. Indonesia - MACOCHA TEMBELE
21. Saudia - MOHAMED ABDALLAH
22. Algeria - SALUM NJALIKAI
23. Qatar - HABIBU MOHAMED
24. China- KHAMIS OMAR
 
Wenye Akili tumejua unachotaka kutuhabarisha

Kanisa Moja Takatifu La Mitume 😀
 
Ana HAKI MAREHEMU KTJ UZIMA WAKE NDIYE ALIYEMPIGA RISASI NINGEKUWA MIMI NINGEKUNYA JUU YA KABURI LA MAREHEMU KAMA ALIVYOSHAURI Kigogo 2014
Ulikuwepo wakati akimpiga hiyo risasi,una ushahidi we kenge.
 
Hivi kuna mtu ambaye ana tembezwa Tanzania nzima kama Tundu Lissu ili Wananchi waende kushangaa na kumuonea huruma tu....
Hivi unajua CHADEMA walishampachika Lissu kuwa ni "Kivutio" chao? Aisee

Huo ni Ukweli sasa weye, weye

Wewe ni Muongo, Mwili wa Hayati Raisi JPM haukutembezwa Tanzania Nzima.
Tundu Lissu anatembea kufanya mikutano kama mwanasiasa,.

Lile dubwana lenu lilikuwa likitembezwa na kuanikwa juani ili iweje?😂😂
 
Hivi kuna mtu ambaye ana tembezwa Tanzania nzima kama Tundu Lissu ili Wananchi waende kushangaa na kumuonea huruma tu....
Hivi unajua CHADEMA walishampachika Lissu kuwa ni "Kivutio" chao? Aisee

Huo ni Ukweli sasa weye, weye

Wewe ni Muongo, Mwili wa Hayati Raisi JPM haukutembezwa Tanzania Nzima.
Shujaa aliagiza, akifa asipitishwe bungeni kupewa heshima za mwisho, pelekeni haraka Singida kuzika, kinyume chake, Mungu kaagiza yeye apelekww Chato haraka kuzikwa...kwa kweli Mungu ni fundi.
 
Back
Top Bottom