johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Muonee huruma yule aliyejaribu kumuua lakini yeye ndio akafaTumuonee Huruma?
Wewe ni Muongo na niAlishambuliwa na vijana wa Magufuli wakiongozwa na Makonda sio wasiojulikana
Hata ww ukileta za kuleta Unashugulikiwa tu. Msaliti na Gaidi ni masaliti tu.Muonee huruma yule aliyejaribu kumuua lakini yeye ndio akafa
Ambariki msaliti in walinda legacy's voice? Including wewe?Mungu wa mbinguni mbariki sana Tundu Antipas Lisu Ili siku moja aliongoze Taifa Hili
Tundu Antipas Lisu ni Muujiza Unaoishi
Mungu wa mbinguni awabariki sana wote mlioshiriki kuutetea Uhai wa Jasiri Tundu Antipas Lisu
Unaelewa maana ya Msaliti?Ambariki msaliti in walinda legacy's voice? Including wewe?
JESHI LA NCHI YENYE WATU MIL 61 LIMESHINDWA KABISA KUWAKAMATA WAHARIFUMungu wa mbinguni mbariki sana Tundu Antipas Lissu Ili siku moja aliongoze Taifa Hili
Tundu Antipas Lissu ni Muujiza Unaoishi
Mungu wa mbinguni awabariki sana wote mlioshiriki kuutetea Uhai wa jasiri Tundu Antipas Lissu
Hivi kuna mtu ambaye ana tembezwa Tanzania nzima kama Tundu Lissu ili Wananchi waende kushangaa na kumuonea huruma tu....Kama lile gaidi la Chato lilivyoshugulikiwa kisha mwili wake kutembezwa Tanzania nzima ili kila mtu ashuhudie
Ana HAKI MAREHEMU KTJ UZIMA WAKE NDIYE ALIYEMPIGA RISASI NINGEKUWA MIMI NINGEKUNYA JUU YA KABURI LA MAREHEMU KAMA ALIVYOSHAURI Kigogo 2014Na bado anatukana mpk marehemu.
Tungepata waandishi wazuri wanaofanya na tafiti wangetuandikia kitabu ili kuhifadhi kumbukumbu na pia kujifunza mbinu zinazotumiwa kuua watuDuh, kumbe muda umeenda sana, yaani tayari miaka sita imeshafika?
Unaweza kusema tukio limetokea jn, sema nn sababu mlengwa bado anaishi pengine ingekuwa kama wafilisti walivyodhamiria angekuwa ameshasahaulika.
Mungu aendelee kumpa afya njema[emoji120]
Unamuuliza nan wee mfuasi wa shujaa? Huu ni wimbo mliuimba sana kipind kile na hata shujaa wako aliuimna na ulikua unasapoti!! Now unataka ku escape!!Unaelewa maana ya Msaliti?
Shujaa Magufuli hakuwahi kumwamini Lisu hivyo Lisu hawezi kuwa Msaliti wa MagufuliUnamuuliza nan wee mfuasi wa shujaa? Huu ni wimbo mliuimba sana kipind kile na hata shujaa wako aliuimna na ulikua unasapoti!! Now unataka ku escape!!