Leo ni miezi mitatu imepita tokea niachane na betting (kamari)

Leo ni miezi mitatu imepita tokea niachane na betting (kamari)

Nashukuru nina mwaka sasa toka niache kubeti. Ilikuwa imefikia hatua mbaya kiasi kwamba mpaka hela ya kula unaweka mzigo ukitegemea kushinda mamillioni.
Kwa ambao hawaijui KAMARI, hawawezi kukuelewa. Mimi nilianza mpaka nilianza kujichukia, nilichakaa mbaya.
 
Sports Betting ni biashara inayohitaji umakini wa akili zako. Kama una Low IQ huku usije utachakaa sana!
 
Beting nina historia nayo sana kuna wakati nilipigwa sana na kanji nikawa na mawazo kama wewe ila mwanzoni mwa msimu huu nimemzoa pakubwa sana yani namaanisha pakubwa sasa
 
Bwashee leo spain anacheza na kibonde Czech 🇨🇿
Na 🇦rgentina anacheza na bukinafaso

Vp hutaki pesa ya bure hapo
 
Back
Top Bottom