Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
"Alitumia cheti kisicho chake kujiunga na chuo cha Ualimu " hiyo sentensi imenishtua
Aiseee nchi ngumu sana hiiWanataka tusapoti dhambi mtu huyo hata afe Kwa msongo nitaungana na Magu.
Wacha kutetea mashundu hicho unachoandika kinafanyika Private Entity serikali haiwezi nipangia ni ajiri vipi kwenye kampuni yangu.Hili lilihitaji hekima zaidi, Watu wanaosisitiza hekima itumike wana hoja, maana ni hekima hiyo hiyo ilitumika kuwarudisha makazini wateule wakisiasa waliotumbuliwa na mhusika mwenyewe.
Kuna sehemu ukituma barua za maombi ya kazi hauambatanishi cheti, na wanakuambia usiambatanishe cheti na hutakaa uulizwe cheti. Andaa CV yako vizuri yenye referees ambao wataulizwa kuhusu wewe inapobidi, kafanye interview ya mdomo na vitendo (kama inahusisha interview ya vitendo) wakikupima wakaona una sifa unalamba ajira. Kwa muono wangu ndizo sehemu zinaongoza kwa matokeo chanya ya kiutendaji.
Sina maana ya kutetea utamaduni wa kupata kazi huko serikalini bila cheti maana inaonekana cheti ni kitu cha msingi sana huko, binafsi nimesoma la kwanza mpaka la kumi na sita bila kurudia hata mwezi mmoja. (Maana humu JF unaweza kuambiwa unacheti feki kwasababu tu umewatetea wahanga.)
Ndio maana wana matokeo chanya kuliko huko mnakoombana vyeti sababu wanatazama ujuzi, na ukilega lega kidogo unawekwa kwenye uangalizi wa perfomance yako, ukishindwa unaondewa kwa maslahi mapana yatasisi/kampuni.Wacha kutetea mashundu hicho unachoandika kinafanyika Private Entity serikali haiwezi nipangia ni ajiri vipi kwenye kampuni yangu.
Serikalini ni Public Office Cheti ni each and everything no matter what...usijaribu ku entertain ujinga kama huu, aliuetumbuliwa kwa cheti feki au kutofuata system sina huruma naye nina roho mbaya sana katika hili.
Poleni sana.Huyu Mama alikuwa Afisa Muuguzi Mkunga, mwenye elimu ya stashahada toka KCMC COLLEGE na shahada Muhimbili university.
Alifariki akiwa na miaka 58 (miaka 2 kabla ya umri wa kustaafu), kwa shinikizo la damu na heart stroke.
Kabla ya kupata maradhi haya alitumbuliwa UTUMISHI wake na serikali kutokana na "INCONSISTENCY" kwenye cheti chake cha form four
Kutumbuliwa kwake kukaenda sambamba na kukosa mafao yake kwa utumishi wa miaka 33 ndani ya serikali.
FUNZO:
Sio kila hukumu kwa mujibu wa sheria ni hukumu kwa mujibu wa haki.
RIP - SHANGAZI
Cheti is one thing matokeo is another thing...Kama suala ni matokeo sio cheti then hakuna mantiki ya kuwepo Vyuo vikuu mimi sio muhasibu niajiriwe kokote kama muhasibu, logisticians, HR, Mwalimu kokote niajiriwe kwasababu serikali haingalii cheti inataka matokeo unashindwa Reason hiki.Ndio maana wana matokeo chanya kuliko huko mnakoombana vyeti.
Hakuna hekima kwenye illegal kama serikali ilikosea kweli kama step za mtu kufanya illegal then unakuja kusema upo kazini 30 years GO AND DIE.Sijakuomba uwaonee huruma, nimesema tu hekima ilipaswa kutumika kama ilivyotumika kwa mkurugenzi wa kahama etc.
Punguza hasira, ukinisoma vizuri sijasema wasiajiri kwa kuangalia vyeti, sababu ndio sheria au ada huko. nimesisitiza kuwa wangeangaliwa kama alivyoangaliwa yule mkurugenzi.Cheti is one thing matokeo is another thing...Kama suala ni matokeo sio cheti then hakuna mantiki ya kuwepo Vyuo vikuu mimi sio muhasibu niajiriwe kokote kama muhasibu, logisticians, HR, Mwalimu kokote niajiriwe kwasababu serikali haingalii cheti inataka matokeo unashindwa Reason hiki.
Ajira za walimu nchi nzima watu 50 Million wangeomba si hawangalii cheti.
Vyuo vyote vibomolewe haina haja ya kusoma uhasibu kumbe ajira ni unaajiriwa tu sifa matokeo sio cheti.
You can imagine Dunia ingekuwaje hii.
Hakuna hekima kwenye illegal kama serikali ilikosea kweli kama step za mtu kufanya illegal then unakuja kusema upo kazini 30 years GO AND DIE.
Najitahidi maana sipendagi petpet ujingaPunguza hasira
You Miss A Point na bado hujuiukinisoma vizuri sijasema wasiajiri kwa kuangalia vyeti, sababu ndio sheria au ada huko. nimesisitiza kuwa wangeangaliwa kama alivyoangaliwa yule mkurugenzi.
So niajiriwe basi kama Dakatari nihudumie miaka 30 na mimi na kuna mdogo wangu, Demu wangu wa ubungo, shangazi, wanangu wote tuje tuajiriwe kama madakari suala si unaajiriwa kisa unaenda pata uzoefu huko.Daktari mwenye cheti feki aliyehudumu kwa 30 years hawezi fanana na daktari aliyetoka kupata cheti leo, fikiri.
Acha kutetea dhambi unasema kabisa Kosa alafu unasema namna.Lilikuwa ni kosa, kosa ka kufoji kulikuwa na namna ya kuwawajibisha lakini sio ilivyofanyika, moja ya viti vilivyowadissapoint watu katika utawala wa The late ni double standards.
Una hoja, mfano kulikuwa na athari gani angewaacha na kutoa onyo na sheria zitiliwe maanani kwa ajira zinazofuata, tofautisha na madhara ya kuwaondoa.You Miss A Point na bado hujui
Private sector huwezi fananisha na Public hata kidogo...Private njia yeyote watumie hakuna wakuingilia
Also, hatupo hapa kujadili udahili OP
Suala nafasi ya cheti, Serikalini itumike njia yeyote ile Duniani ya kudahili watu Cheti lazima kitumike no matter What...Cheti ndio verification ya HAKI.
Serikali ni kampuni ya wananchi HAKI ni kilakitu Haki huwezi kui Verify bila Cheti ndio maana system na utaratibu wote upo on paper tangu unazaliwa kwenda nao tofauti ni wewe usitafute huruma ukienda nao tufauti.
So niajiriwe basi kama Dakatari nihudumie miaka 30 na mimi na kuna mdogo wangu, Demu wangu wa ubungo, shangazi, wanangu wote tuje tuajiriwe kama madakari suala si unaajiriwa kisa unaenda pata uzoefu huko.
Na Muhas igeuzwe soko la machinga
use your thinking japo
Acha kutetea dhambi unasema kabisa Kosa alafu unasema namna.
Hakuna tatizo...Una hoja, mfano kulikuwa na athari gani angewaacha
na kutoa onyo na sheria zitiliwe maanani kwa ajira zinazofuata, tofautisha na madhara ya kuwaondoa.
Hata hivyo you also miss my point, Sijatetea matumizi ya cheti feki huko serikalini, ni kosa ambalo lilishafanyika.
Kwa hili suala la vilaza kuforge vyeti na kuingizwa kwenye ajira ni ungese , haikubaliki , I hated Magufuli and his gang lakini Kwa hili kama mtu ulitumbuliwa Kwa kuwa na vyeti fake ni Sawa tena ilibidi mfungwe kabisa , ni jinai
Your a Man.Kwa hili suala la vilaza kuforge vyeti na kuingizwa kwenye ajira ni ungese , haikubaliki , I hated Magufuli and his gang lakini Kwa hili kama mtu ulitumbuliwa Kwa kuwa na vyeti fake ni Sawa tena ilibidi mfungwe kabisa , ni jinai
I rest my case.Hakuna tatizo...
Mfano kuna athari gani mimi na demu wangu hadija wa buza, sele bonge, shangazi yangu na wanangu wakitaa tukaajiriwa kama madaktari na kuachwa...Si hakuna tatizo pia.
You can reason Dunia ikitumia falsafa hii itakuwaje.
kusimamia sheria ni ushetani!? Basi shetani anafaa.Meko ni shetani
We rest tu iyo case tu maana hamna namna....japo nakuwaga against trait za Magu ila katika hili Magu alazwe pema peponi.I rest my case.
Huyu Mama alikuwa Afisa Muuguzi Mkunga, mwenye elimu ya stashahada toka KCMC COLLEGE na shahada Muhimbili university.
Alifariki akiwa na miaka 58 (miaka 2 kabla ya umri wa kustaafu), kwa shinikizo la damu na heart stroke.
Kabla ya kupata maradhi haya alitumbuliwa UTUMISHI wake na serikali kutokana na "INCONSISTENCY" kwenye cheti chake cha form four
Kutumbuliwa kwake kukaenda sambamba na kukosa mafao yake kwa utumishi wa miaka 33 ndani ya serikali.
FUNZO:
Sio kila hukumu kwa mujibu wa sheria ni hukumu kwa mujibu wa haki.
RIP - SHANGAZI
Amen.We rest tu iyo case tu maana hamna namna....japo nakuwaga against trait za Magu ila katika hili Magu alazwe pema peponi.
Lengo ni kupiga fedha za mafao akanunue midege ,kufanya white elephants projects kuwadanganya wanyonge kwamba ameleta "maendereo" (ambao hawajui kitu kinachoendelea)Unatumbua watu na wala hufanyi replacement , na unawanyima stahiki zao , hii nchi yetu sote , hata kama kuna makosa yalifanyika , wapewe stahiki zao , yeye Maghufuli kwenye uchaguzi alitenda haki? Yeye alijiona yupo juu ya sheria.....Mungu akiamua amhukumu Sawa Sawa na matendo yake tutafika ??
Jamaa alikuwa na mission yake tuu ya hovyo , apumzike Tu Kwa amani......kaumiza watu wengi Sana tena kundi aliloumiza ni la middle income people na high income unatamka wazi wazi unataka matajiri waishi kama mashetani how comes ? Wamekukosea nini ?na amesababisha kuwe na mlundikano wa mabanda kwenye miji watu wakiishi kwenye ufukara mkubwa .....
Kwa kisingizio cha Raisi wa wanyonge
View attachment 1733892
Yeye mwenyewe alikuwa na Phd feki baada ya kuanza kuumbuliwa na Ben saanane akaona ampoteze,tuseme ukweli serikali yenyewe inafanya madudu kibao alkini wanaendelea kudunda tu makazini ,PM anadangaya watu hovyo hovyo ambapo kimaadili tu ilitakiwa awe ashaachia ngazi.Swali
Kufanya hivyo ilikuwa legal au illegal??