Kulikuwa na double standards nyingi sana kwenye utawala wakeWe rest tu iyo case tu maana hamna namna....japo nakuwaga against trait za Magu ila katika hili Magu alazwe pema peponi.
FUNZO:Huyu Mama alikuwa Afisa Muuguzi Mkunga, mwenye elimu ya stashahada toka KCMC COLLEGE na shahada Muhimbili university.
Alifariki akiwa na miaka 58 (miaka 2 kabla ya umri wa kustaafu), kwa shinikizo la damu na heart stroke.
Kabla ya kupata maradhi haya alitumbuliwa UTUMISHI wake na serikali kutokana na "INCONSISTENCY" kwenye cheti chake cha form four
Kutumbuliwa kwake kukaenda sambamba na kukosa mafao yake kwa utumishi wa miaka 33 ndani ya serikali.
FUNZO:
Sio kila hukumu kwa mujibu wa sheria ni hukumu kwa mujibu wa haki.
RIP - SHANGAZI
Sheria ipi kandamizi hapa unayozungumzia?Sheria zingine zimepitwa na wakati na zina uonevu,, inahitajika hekima kusimamia Sheria hizi.
Ni zaidi ya ushetani kusimamia Sheria kandamizi.
Uliza waliobomolewa kimara -kibaha , walibomolewa kwa Sheria zipi ndo utapata jibu.Sheria ipi kandamizi hapa unayozungumzia?
So sheria ya barabara isifuatwe tutumie unachokiita Hekima kwa kuacha mtu ajenge hadi katikati ya barabara.Uliza waliobomolewa kimara -kibaha , walibomolewa kwa Sheria zipi ndo utapata jibu.
Nyumba nyingi kimara mbezi zimevunjwa kwa kutumia Sheria ya mita 120. Nyumba nyingi Kati ya hIzo zilikuwepo toka enzi za Sheria ya barbara ni mita 60 . Kwa kutumia Sheria hiyo ilitakiwa kufanya compensation kwa nyumba zilikuwepo kabla ya Sheria ya 120 na hilo halikufanyika,So sheria ya barabara isifuatwe tutumie unachokiita Hekima kwa kuacha mtu ajenge hadi katikati ya barabara.
Sheria bungeni haki mahakamani..Hapana mkuu, na mahakamani nako ni sheria tu.
Sheria ya 120 ni sheria ya 1950 huko kabla ya ht hio sheria ya hio sheria ya 60 ni vile tu sisi watanzania hatupendi kufuata sheria.Nyumba nyingi kimara mbezi zimevunjwa kwa kutumia Sheria ya mita 120. Nyumba nyingi Kati ya hIzo zilikuwepo toka enzi za Sheria ya barbara ni mita 60 . Kwa kutumia Sheria hiyo ilitakiwa kufanya compensation kwa nyumba zilikuwepo kabla ya Sheria ya 120 na hilo halikufanyika,
Barabara imeisha unaona kabisa kuna eneo kubwa limevunjwa kuliko lililotumika kwa ajilii ya barabara., Mind you watu wa mwanza hawakupitiwa na bomoa bomoa kwa sababu walimchagua.
Double standards, waliosemekana pia kuwa na vyeti feki na majina feki wapo waliobaki na vyeo vyao pasi na kuguswa kisa wanakula meza moja.Nipo na Magu kwa hili
Siwezi mpinga Magu kila sehemu kuna mabaya yake na mazuri...Hili la kutumbua vyeti feki ni zuri no matter what.
Eti hakufanya replacement kama hujui ni bora kukaa kimya!Unatumbua watu na wala hufanyi replacement , na unawanyima stahiki zao , hii nchi yetu sote , hata kama kuna makosa yalifanyika , wapewe stahiki zao , yeye Maghufuli kwenye uchaguzi alitenda haki? Yeye alijiona yupo juu ya sheria.....Mungu akiamua amhukumu Sawa Sawa na matendo yake tutafika ??
Jamaa alikuwa na mission yake tuu ya hovyo , apumzike Tu Kwa amani......kaumiza watu wengi Sana tena kundi aliloumiza ni la middle income people na high income unatamka wazi wazi unataka matajiri waishi kama mashetani how comes ? Wamekukosea nini ?na amesababisha kuwe na mlundikano wa mabanda kwenye miji watu wakiishi kwenye ufukara mkubwa .....
Kwa kisingizio cha Raisi wa wanyonge
View attachment 1733892
Sjui kitu gan wakat vitu vipo wazi , mama angu ni mwalimu shule moja hv , waliondolewa walimu kama watano pale Kwa rabsha za vyeti feki , tena walikuwa ukingoni kustaaf , hawajalamba mafao na hakuna mwalimu mpya aliyepelekwa pale since 2017 up to date .... Mtu wenu alifanya mambo bila hekima na busara ......Eti hakufanya replacement kama hujui ni bora kukaa kimya!
MkuuSheria ya 120 ni sheria ya 1950 huko kabla ya ht hio sheria ya hio sheria ya 60 ni vile tu sisi watanzania hatupendi kufuata sheria.
Tunabadili sheria kuwa accomodate wavunja sheria just bcoz tuna huruma au maslai nao..
Unaweka sheria ya 60m unasahau kua watu wanaongezeka na barabara itahitaji kupanuliwa(No future plan at all).
Kuna wakati hua nahisi babu zetu pamoja na kua hawakusoma sana ila walikua werevu kuliko wa kizazi hiki kinachopenda kujazana pembeni ya barabara, pamoja na uchache wao still walituachia road reserve.
Tungekua na plan nzuri ilipaswa 120 iwe standard...kuwe na mwendo kasi, metro rail, barabara za magari, waenda kwa miguu na reserve kwa ajili ya miti na bustani ila tumeweka 60 ili tutengeneze mazingira ya kulipana fidia kila unapofanyika upanuzi...
If You fail to plan you plan to fail.
Sjui kitu gan wakat vitu vipo wazi , mama angu ni mwalimu shule moja hv , waliondolewa walimu kama watano pale Kwa rabsha za vyeti feki , tena walikuwa ukingoni kustaaf , hawajalamba mafao na hakuna mwalimu mpya aliyepelekwa pale since 2017 up to date .... Mtu wenu alifanya mambo bila hekima na busara ......
Shortcut will cut you short.Huyu Mama alikuwa Afisa Muuguzi Mkunga, mwenye elimu ya stashahada toka KCMC COLLEGE na shahada Muhimbili university.
Alifariki akiwa na miaka 58 (miaka 2 kabla ya umri wa kustaafu), kwa shinikizo la damu na heart stroke.
Kabla ya kupata maradhi haya alitumbuliwa UTUMISHI wake na serikali kutokana na "INCONSISTENCY" kwenye cheti chake cha form four
Kutumbuliwa kwake kukaenda sambamba na kukosa mafao yake kwa utumishi wa miaka 33 ndani ya serikali.
FUNZO:
Sio kila hukumu kwa mujibu wa sheria ni hukumu kwa mujibu wa haki.
RIP - SHANGAZI
Ya kwako ni lini tuje kunywa bia?mtu mwenye akili timamu hawezi kuongea hivyo.Pole sana mkuu, hakikisha unapata mafanikio zaidi ya shangazi ili afarijike huko aliko, pia hakikisha unachinja mbuzi na kuchoma mle na familia huyu jitu likishafukiwa huko chini.