Leo ni mwaka mmoja kamili toka kifo cha Shangazi wetu kilipotokea kwa kutumbuliwa utumishi Serikalini. Inasikitisha

Vipi watu wema wanaokufa!?

Je tunakufa sababu tumewakosea watu ama tunakufa sababu ni lazima TUKUFE tu!?
Utafikiri yeye mwema saaaaaana ndo maana hajafa. Ushabiki wa kisiasa unaondoa akili kabisa
 
Sawa muondoe lakini amekufanyia kazi kwa mika 33 ameokoa maisha ya wazazi wangapi? Amezalisha kinamama wajawazito wangapi? Je kwa miaka yote hyo anastahili kuondoka bila mafao?
 
Family nyingi tuliguswa hapa ila nae ameenda tumsameeh t
 
Zoezi hili lilikuwa lakibaguzi mtu kafanya kazi miaka zaidi ya 30 unakuja kumuita ni mtumishi hewa zoezi likaendeshwa kiupendeleo wengine wakaendelea Kula mema ya nchi kama wanajeshi na mapolisi hawakuguswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…