Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 685
- 2,355
Tarehe 22/08/2026 kulifanyika uzinduzi wa Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere ni mwezi mmoja kamili, ambapo ilikuwa ndio siku ya mwisho (mpaka sasa) ya aliyepata kuwa Makamu wa Rais Balozi Emmanuel Nchimbi kuonekana hadharani.
Siku 3 baadae aliandika barua ya kujiuzulu wadhifa huo wa Umakamu wa Rais.
Tangu mchana ule wa uzinduzi pale kwenye bwawa la Mwalimu Nyerere, Emmanuel John Nchimbi hajawahi kuonekana wala hajulikani alipo.
Je yamemkuta yale yaliyomkuta Aboud Jumbe jioni ile ya January 1984 pale Dodoma na kwenda kuishi kwa lazma pale Mji Mwema, Kigamboni kwa maisha yake yote yaliyodalia duniani.
Ni wapi alipo Nchimbi jamani?