Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Sio hajulikani alipo, ni hajaonekana hadharani, lakini wahusika muhimu wanaomhusu wanapajua alipo, yuko kwake na familia yake Yeye akiwa kwenye solitude Voices From Within: Nimeelezwa M/Rais Mstaafu Bal Dr. Nchimbi Yuko Salama Kwake. Ni Yeye Mwenyewe Ameamua Kutulia Kimya, Hashikiliwi, Hajazuiliwa!"Tarehe 22/08/2026 kulifanyika uzinduzi wa Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere ni mwezi mmoja kamili, ambapo ilikuwa ndio siku ya mwisho (mpaka sasa) ya aliyepata kuwa Makamu wa Rais Balozi Emmanuel Nchimbi kuonekana hadharani.
Siku 3 baadae aliandika barua ya kujiuzulu wadhifa huo wa Umakamu wa Rais.
Tangu mchana ule wa uzinduzi pale kwenye bwawa la Mwalimu Nyerere, Emmanuel John Nchimbi hajawahi kuonekana wala hajulikani alipo.
Ni wapi alipo Nchimbi jamani?
Mtu ambaye hajulikani alipo angeripotiwa kutafutwa na familia yake na ndugu zake, jamaa na marafiki.
P