Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 685
- 2,355
Kwa hali hii hakuna atakayeamua kuachia ngazi za juu akabaki salama utatumikia nafasi yako hadi muda wako uishe ndio maana huweziskia hata familia ikitoa taarifa yoyote.Tarehe 22/08/2026 kulifanyika uzinduzi wa Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere ni mwezi mmoja kamili, ambapo ilikuwa ndio siku ya mwisho (mpaka sasa) ya aliyepata kuwa Makamu wa Rais Balozi Emmanuel Nchimbi kuonekana hadharani.
Siku 3 baadae aliandika barua ya kujiuzulu wadhifa huo wa Umakamu wa Rais.
Tangu mchana ule wa uzinduzi pale kwenye bwawa la Mwalimu Nyerere, Emmanuel John Nchimbi hajawahi kuonekana wala hajulikani alipo.
Je yamemkuta yale yaliyomkuta Aboud Jumbe jioni ile ya January 1984 pale Dodoma na kwenda kuishi kwa lazma pale Mji Mwema, Kigamboni kwa maisha yake yote yaliyodalia duniani.
Ni wapi alipo Nchimbi jamani?
Nape kakimbilia China kitamboKwa hali hii hakuna atakayeamua kuachia ngazi za juu akabaki salama utatumikia nafasi yako hadi muda wako uishe ndio maana huweziskia hata familia ikitoa taarifa yoyote.
Kwani siyo mbunge?Nape kakimbilia China kitambo
Ni mbunge ila kakimbilia China, shika hilo nenoKwani siyo mbunge?
Doh....Nape kakimbilia China kitambo
π―Nilipo msikiaga Suli akisema.... hatupo salama, wakitumaliza sisi wataanza kulana wao...π
Duh π ! π³Ni mbunge ila kakimbilia China, shika hilo neno
πππ€£π€£π€£π―
Wakongwe wali compromise vyombo vya ulinzi na usalama na mifumo huru ili kumaliza upinzani na kuminya demokrasia...
Sasa wao wamekuwa wahanga, mifumo waliyoharibu sasa inatumika kuwanyoosha wenyewe, chaguo ni mawili tu, ufanye siasa za kichawa ama ukosoe wa deal na wewe....
Yaani ma engineer wa mfumo Sasa ni machawa..π€£π€£
Naamini wanapanga mipango ya chinichini kurudisha nguvu waliyokuwa nayo ...
ππ€£ !Doh....
Shida wakiwa kwenye mfumo wanatetea uminyaji wa haki, ila yakiwakuta wananchi ndio wanaanza kuwapambania. Nakumbuka Polepole akimkashifu Lissu wakati wa kampeni 2020 akidai sera ya Lissu ni kulalamika alishambuliwa risasi. Ila yeye alipodakwa hakuna aliyemsaidia wakati anapiga kelele za msaada.