Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Sio hajulikani alipo, ni hajaonekana hadharani, lakini wahusika muhimu wanaomhusu wanapajua alipo, yuko kwake na familia yake Yeye akiwa kwenye solitude Voices From Within: Nimeelezwa M/Rais Mstaafu Bal Dr. Nchimbi Yuko Salama Kwake. Ni Yeye Mwenyewe Ameamua Kutulia Kimya, Hashikiliwi, Hajazuiliwa!"Tarehe 22/08/2026 kulifanyika uzinduzi wa Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere ni mwezi mmoja kamili, ambapo ilikuwa ndio siku ya mwisho (mpaka sasa) ya aliyepata kuwa Makamu wa Rais Balozi Emmanuel Nchimbi kuonekana hadharani.
Siku 3 baadae aliandika barua ya kujiuzulu wadhifa huo wa Umakamu wa Rais.
Tangu mchana ule wa uzinduzi pale kwenye bwawa la Mwalimu Nyerere, Emmanuel John Nchimbi hajawahi kuonekana wala hajulikani alipo.
Ni wapi alipo Nchimbi jamani?
Tuokatae CCM kwa nguvu zetu zote!Tarehe 22/08/2026 kulifanyika uzinduzi wa Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere ni mwezi mmoja kamili, ambapo ilikuwa ndio siku ya mwisho (mpaka sasa) ya aliyepata kuwa Makamu wa Rais Balozi Emmanuel Nchimbi kuonekana hadharani.
Siku 3 baadae aliandika barua ya kujiuzulu wadhifa huo wa Umakamu wa Rais.
Tangu mchana ule wa uzinduzi pale kwenye bwawa la Mwalimu Nyerere, Emmanuel John Nchimbi hajawahi kuonekana wala hajulikani alipo.
Je yamemkuta yale yaliyomkuta Aboud Jumbe jioni ile ya January 1984 pale Dodoma na kwenda kuishi kwa lazma pale Mji Mwema, Kigamboni kwa maisha yake yote yaliyodalia duniani.
Ni wapi alipo Nchimbi jamani?
Kwani ameuawa?Tuonyesheni kaburi lake, mnaficha nini?
Solitude π³π !Sio hajulikani alipo, ni hajaonekana hadharani, lakini wahusika muhimu wanaomhusu wanapajua alipo, yuko kwake na familia yake Yeye akiwa kwenye solitude Voices From Within: Nimeelezwa M/Rais Mstaafu Bal Dr. Nchimbi Yuko Salama Kwake. Ni Yeye Mwenyewe Ameamua Kutulia Kimya, Hashikiliwi, Hajazuiliwa!"
Mtu ambaye hajulikani alipo angeripotiwa kutafutwa na familia yake na ndugu zake, jamaa na marafiki.
P
Tunatokaje ???!Tutoke huku kwenye visasi
Kama kweli lijamaa limekimbilia China basi kweli KARMA ni kiboko π€£π !Ni mbunge ila kakimbilia China, shika hilo neno
ok.πTarehe 22/08/2026 kulifanyika uzinduzi wa Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere ni mwezi mmoja kamili, ambapo ilikuwa ndio siku ya mwisho (mpaka sasa) ya aliyepata kuwa Makamu wa Rais Balozi Emmanuel Nchimbi kuonekana hadharani.