FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Tupumzike kidogo na uchaguzi ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhambi nilizotenda leo juu ya picha hizi, ee Mungu, mbili zihamishie kwa FL1.:confused2::confused2:
Tunashukuru FL1 kwa picha, PAMOJA NA UREMBO WAO lakini SLAA atashinda!...KAZI NA DAWA!
hahaha waombee na wenzio watakao tenda dhambi kwa picha hii pia .......
hahaha waombee na wenzio watakao tenda dhambi kwa picha hii pia .......
:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky: poleDhambi nilizotenda leo juu ya picha hizi, ee Mungu, mbili zihamishie kwa FL1.:confused2::confused2:
Pia nusu ya dhambi watakazozitenda kina Kimey, Kaizer, Teamo, Fidel, The Finest, Bigirita, Next level, Acid,Dark City, Dreamliner. Klorokwini,Maxence , Roya Roy, Invisible, Maskini_Jeuri na wanachama wote hai wa Infidelity Social Club zihamie kwa FL1.
Dhambi nilizotenda leo juu ya picha hizi, ee Mungu, mbili zihamishie kwa FL1.:confused2::confused2:
Pia nusu ya dhambi watakazozitenda kina Kimey, Kaizer, Teamo, Fidel, The Finest, Bigirita, Next level, Acid,Dark City, Dreamliner. Klorokwini,Maxence , Roya Roy, Invisible, Maskini_Jeuri na wanachama wote hai wa Infidelity Social Club zihamie kwa FL1.
Asprin bwana tamaa zako zinikoseshe ufalme wa mbiguni...hapa lazima nitakata rufaa
Na wewe dhambi nazozitenda juu ya avatar yako tangu ijumaa, nusu yake zihamie kwenye kiuno chako....ushindwe na ulegee:eyebrows:Heee hivi kumbe inawezekana eeh....?
Mi naomba za kwangu zote ahamishie kwako....
Na wewe dhambi nazozitenda juu ya avatar yako tangu ijumaa, nusu yake zihamie kwenye kiuno chako....ushindwe na ulegee:eyebrows:
nimem miss BHT jamani....
Hivi hakukuambia lile jaribio lake la kutotumia kondom lilimtokea puani? Mwenzio yuko kwenye Martenity Leave...(Anatumia ID mpya....stuka!!):lol::lol::lol:
Hivi hakukuambia lile jaribio lake la kutotumia kondom lilimtokea puani? Mwenzio yuko kwenye Martenity Leave...(Anatumia ID mpya....stuka!!):lol::lol::lol:
Hahahahaha! nakumbuka enzi zako za barbra mpaka mjukuu wangu MJ1 alikuomba urudi uendelee kuwa nyama yetu!jamani hizi ID zinatuchanganya sasa, hebu mwambie anisalimie pm, mpaka sasa mie cjamtambua CBZ ni nani walaah.
jamani hizi ID zinatuchanganya sasa, hebu mwambie anisalimie pm, mpaka sasa mie cjamtambua CBZ ni nani walaah.