Leo ni ndoa ya Diamond na Zari?

Huwa nampuuza Mange kumbe anayoandika huwa yana ukweli mwingi, hili jambo nimelisoma kwake kuwa kyna hii video shooting itafanyika kudivert intention ya seduce me.

Nimewadharau sana hawa WCB burw kabisa.

Ndoa ya kiislamu inafungwa nyumbani kwao bibi harusi, hawa vilaza hata vitu vidogo kama hivi wameshindwa kuvielewa kwa sababu ya kuweweseka na Kiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ingekua ni kudivert mbona dai hajapost ameamua kufanya kimyakimya..,vitu vingine jiulize kabla ya kpost sio mnachukua tu kwa hy mchawi wa instagram

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi uliyonayo ni kuwadharau WCB tu, funny enough hata hawatambui uwepo wako, dharau, dharau tena, teh we dharau tu si ndo kazi pekee uliyonayo? Dume zima .......
 
ingekua ni kudivert mbona dai hajapost ameamua kufanya kimyakimya..,vitu vingine jiulize kabla ya kpost sio mnachukua tu kwa hy mchawi wa instagram

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejiuliza ndoa za kiislamu huwa zinafanyika kikeni au msikitini na siyo nyumbani kwa mume.

Na nimepata jibu waislamu kamwe hawawezi kuruhusu msikiti kuwa eneo la maigizo. That's it.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera diamond na zari has a zari umetukanwa mno na zile team mbili wakikusimangia ndoa hayawi hayawi sasa yamekua mwenyezi Mungu abariki ndoa yenu awape kheri na afya njema mlee watoto wenu kwa kumpendeza MUNGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…