Leo ni ndoa ya Diamond na Zari?

Leo ni ndoa ya Diamond na Zari?

Anaolewa au wanacheza video ya wimbo?
Anaolewaje nyumbani kwa diamond?
Mwanamke wa kiislam najua ndoa ni kwao, [emoji3][emoji3]
Wazazi ndugu wapo wapi[emoji108][emoji108][emoji108]
WAPAMBANE TUU NA HALI ZAO HAMNA KIKI HAPA.
BTW hata akiolewa kuna mke wa 2 wa 3 hadi wa 4 labda ajivunie kuwa bi mkubwa

Aisee
 
Na ww Leo umeanzisha thread tena ya udaku do jf ina wenyewe.Ile kauli mbio great thinker naona imevamiwa.

Sent using Iphone 7+
 
Na ww Leo umeanzisha thread tena ya udaku do jf ina wenyewe.Ile kauli mbio great thinker naona imevamiwa.

Sent using Iphone 7+

Acha wivu
Habari ya celebs kuoana ni udaku!!!
Ndio maana kuna mijitu hata wafaulu darasani.. maishani ni sifuri kabisa.

Niache niishi kivyangu na kuburudika.. ishi utakavyo huwezi kunipangia.. wewe wakuja.. hata kazi mifungia ndani hukosa ukienda kw watu makini... nani anataka kuwa na malofa!?
 
Bwana mdogo amekua sasa naona mambo ya kupost kila kitu amepunguza.

Lakini kama angeendekeza akina fulani hiyo akili aliyonayo sasa ingechelewa. Nadhani Zari kichwa chake kiko vizuri achilia mbali masuala ya Umri na uzoefu wake kwenye ndoa.

Hongera Mondi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona umechelewa kuposti

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Back
Top Bottom