Leo ni ndoa ya Diamond na Zari?

Leo ni ndoa ya Diamond na Zari?

Inasemekana eti hiyo si harusi bali kuna nyimbo wanataka kutoa inaendana na hiyo event in kama wanashoot video ya nyimbo yao mpya...
 
Hongera sana kwa kuoa, huyu kijana ana bahati sana, ameoa mwanamke mwenye uzoefu kwenye ndoa, na mwenye watoto wa kutosha. uzoefu unahitajika kila mahali siyo kazini tu.

Aisee nimemwagia mafail maji ujue [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Wamefanya fasta kuizima seduce me

lli ndoa Izungumziwe sana

invest what you are willing to lose
 
Back
Top Bottom