Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
0-0
Weka dau kishkizo cha shati mimi naweka elfu kumi tu.Hakuna
over 2.5 ipo nje nje.Mamaeee nimeweka over 2.5
PSG hawana kiungo.hola dah!.
kiungo wao huwa anapwaya sana na hilo ndo tatizo kuu la hii timu.PSG hawana kiungo.
Kuna gape kubwa katikati
Kitakachowasaidia PSG nafikiri itakuwa dead balls.Psg wamepoa mno
YapKitakachowasaidia PSG nafikiri itakuwa dead balls.
Bayern wako vizuri eneo la kiungo na mda wowote wanaweza wakabadili ubao
Hivi DStv wanaonesha channel gani?