Weka majina ya watanzania waliokufa na njaa kwa sababu ya bei!! Otherwise ni mihemuko tu na kukariri maneno kama kasuku!Uhalifu unaofanywa na awamu ya sita ni mbaya zaidi kuliko kipindi cha sabaya maana kwa sasa wtz wengi wanakufa kwa njaa inayotokana na kupandisha bei ya vyakula hovyohovyo akisaidiwa ba chawa wake
Kufa kwa njaa ni uzembe wenu kujifanya mnaishi mjini huku hamna kazi ya kuwaingizia kipatoUhalifu unaofanywa na awamu ya sita ni mbaya zaidi kuliko kipindi cha sabaya maana kwa sasa wtz wengi wanakufa kwa njaa inayotokana na kupandisha bei ya vyakula hovyohovyo akisaidiwa ba chawa wake
Kweli kabisa mkuu, kuna baadhi ya wana CCM ni wajinga sana tena wajinga sana, wao wandhani wakimdhihaki au kuonesha kufurahi kifo cha Dkt Magufuli wa adhani watapendwa na wapiga kura. Yaani chukizo walilotengeneza kwa wapiga kura ni baya sana. Dkt Magufuli hayupo ila wanamuogopa sana kiasi kwamba wanatamani wakamfukue wamzike baharini na wapige marufuku jina lake kutajwa. Hakika Dkt Magufuli tulimpenda sana na rais Dkt Samia kama msaidizi wake alidanganywa mno na bado wanaendelea kumlaghai ili adhani yeye ni better kuliko Dkt Magufuli, na lengo lap lile lile ni kulinganisha Dkt Magufuli na Rais Dkt Samia wakati Dkt Samia na Dkt Magufuli ni kitu kimoja ila yeye Dkt Samia aliharibiwa na hawa hawa wanafiki waliomwambia aanze kumdhihaki bosi wakeView attachment 2577791
Kanuni namba moja ya watu wenye wivu
Miaka miwili baadae, bado tu wanajaribu.
Wazungu wanamsemo ‘learn when to quit’.
Huyo mtu aliewahi kuishi Tanzania, mazuri yake ayawezi funikwa hasa kipindi hiki ambacho watanzania waliohai na akili zao timamu baada ya kuuona uongozi wake.
Busara ni kufanya yenu, mkubalike au mchukiwe kwa matunda ya kazi.
Magufuli kila siku inatosha, huo uongo watanzania walio wengi wameukataa.
Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa Hayati Magufuli.
Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi kwa Kibali Cha JPM
Sio na CCM wote?Aibu yenu na SG wote
Nchi hii imejaa wapumbavu, wasiojua, hata kuwa na uwezo wa angalau kuelewa wanachotaka, ndiyo maana hatusongi. No vision no mission, na strategies na ambitions. Watu wako kama senene tu kwenye mwangaAWAMU YA TANO, ULIKUWA NI UTAWALA WA OVYO KUPATA KUTOKEA, SEREKALI SAFI, HAIKUPASWA KUWA NA MAGENGE YA UTESAJI, UNYANGANYI, WIZI, UBADHIRIFU, UTOROSHAJI FEDHA, NA YA HOVYO YA AINA HIYO!.
Mtu muovu poppte pale lazima aogopwe! Wewe huogopi majambazi.sabaya ni jambazi ndo maana akahukumiwa jela 30 yrs! Au????Gaidi na team yake wanamuogopa sana Sabaya.
Kwa hiyo na hzi pesa alizokuwa anakusanya allikuwa anampelekea Magu? Watu wanaiba kwa njaa zao - kisha wanataka kutupia lawama watu wengine.Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa Hayati Magufuli.
Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi kwa Kibali Cha JPM
Ashikiwe bunduki wakati yeye Sabaya na Makonda walitumika kudidimiza demokrasia ya Tanzania kwa amri ya Amir Jeshi Mkuu wa wakati huo.Nguvu kubwa Sana inatumika kumdidimiza Jiwe na yale aliyoyafanya!!!
Huenda Sabaya ameshikiwa bunduki kwamba ayaseme haya uliyoyasema wewe hapo!
Who knows!??
Wewe mtu wa tumbatu una maneno machafu sana ila weka akiba, "the earth is spinning on the same axis through the same orbital pathway rotating the solar system in which you are tamed, tomorrow you might be a victim of the next beast"Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa Hayati Magufuli.
Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi kwa Kibali Cha JPM
Demokrasia ni chakula, uhai au haki?Ashikiwe bunduki wakati yeye Sabaya na Makonda walitumika kudidimiza demokrasia ya Tanzania kwa amri ya Amir Jeshi Mkuu wa wakati huo.
Demokrasia inatufanya tuishi kama kabila moja ndugu moja na kutufanya tuishi mahali popote bila bughudha.Demokrasia ni chakula, uhai au haki?
Tafsiri yako hiyo inaamanisha 'Ujamaa' sio 'demokrasia'Demokrasia inatufanya tuishi kama kabila moja ndugu moja na kutufanya tuishi mahali popote bila bughudha.