Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,308
I will be right back....ngoja nikapige desa kwenye TUKI
Naona we mbishi kama Hosni Mubarak!
Definitelysisi ni kama mr and mrs smith!
Sipiyu nimependa batasamu lako
Happy Valentine
Acha kupiga desa leta tungo za kisasa
Babu mie sina tabu naghani bila kinasa
Unapoingia jiamini au nikupige msasa?
Wajukuu watakukimbia mie tawanasa...............
Bahat ilioje hii
Ahsante MwanajamiiOne, umenifanya nijione namba One
Umekuwa JF the only One, kunitakia happy Valentine mwanaOne
Nipe walau only chance One, nikuonyeshe how to truly love someOne
I will be the only One, to the sweet love One
Nilitunge kajiutenzi uchwara...wakati nataka kukabandika hapa nikakutana na hii ya muzee ya them vifuaz vya jukuuz.....I trashed it....
Anyway...hainizuii kuwatakia wana-MMU na wote siku njema ya mtakatifu mwenzangu valentino.......
Babu, aomba mambo, kwayake mashairi,
haya nendeni vidogo, babu mukamsitiri,
hachagui mjukuu, mhaya wala mshihiri,
huvitaka na vitukuu, babu yeye jasiri..
Babu, hakuficha siri, ameyasema dhahiri,
wajukuu hapo mukiri, babu nayake dhamiri,
masikini babu fakiri, tandale la kamba hariri,
babu ataka vinjari, pumbule mshipa wa ngiri..
hahahahahaha
Hahahaha....at least nimefanikiwa kucheka LOL!
Kwangu vina vinanasa
Toka juzi hata sasa,
Nimeshindwa na siasa,
Vina nayo vinishinde?
Nashusha kwa kupapasa,
Bila ulimi kunasa,
Hakuna kitu kudesa,
Vina navyo vinishinde?
Aisee we mutu....
Hiyo siku inaambatana na biya?
Will be.....Orayt....be a good girl, for babu ok?
Babu yake maneno hana tena urijari
Ni mbovu wa moyo asumbuliwa na ngiri
Ni mwingi wa mashauzi na kujifanya jasiri
Anapozi za ujana mtumzima aliekidhiri
Anjitoa wake uungwana kutongoza vigori
Watakuja mtoa nishai Mungu amsitiri
Hebu vaa miwani aisee......
Prv:31:6-7:
Give strong drink to them that are sad; and wine to them that are grieved in mind: Let them drink, and forget their want, and remember their sorrow no more.
Hebu vaa miwani aisee......
Prv:31:6-7:
Give strong drink to them that are sad; and wine to them that are grieved in mind: Let them drink, and forget their want, and remember their sorrow no more.
Kwenu wajukuu zangu wote,
Babu loves you all .ila ninamhitaji mmoja....atakayewahi.... wa kunikata kucha, kunilisha ugoro, kuniletea mkongojo na kunibembeleza ..Nani anatajitolea kunywa mvinyo na babu, siku hii maalum ya kupendana?
Je ni Festiledi Au Arusha kwa Preta?
Je ni Waisiledi au Birungi utanvuta?
Jee ni Elo Dii, au Jei Esi waniita?
Michelle wa juhudi, au Askofu ntak'kuta?
Mwanajamii wani, Afrodenzi unataka?
Lizzy ninakutamani, Desidii uhakika,
Au wewe Gaijin, Dena mimi nakutaka,
Lili flawa namba wani, Pearl usiwe na shaka.
DaMie na Lovenesi, Maty ninakupigia,
Niliham sina wasi, Leney nakwaminia,
Njoo kwangu we Smiles, Rose utanipatia,
Nyamayao usihasi,Roselyline nangojea
Kwini kami natamani, Remi ninakungojea,
Regia uko bungeni, waweza kwangu pitia,
Carmel wangu wa moyoni, Cheusi wanivutia,
Hata wewe Dalingtoni, wajukuu wote pia.
Kwenu nyie wapwa zangu,
Msione wivu kwangu,
Hawa wajukuu zangu,
Babu nimejisevia.
Hawa kwao nina nia,
Moyoni kwangu fungia,
Haja yangu kutimia,
Valentine niwe nao.
Narudi kitandani kumsubiri mjukuu atakayewahi!
Happy Valentines day kwa wajukuu na wanachama wote hai wa JF jukwaa la MMU!
:hippie::lalala::A S-heart-2::A S kiss::A S thumbs_up::clap2::drum::msela::bange::welcome::welcome:
Orait not a problem put any,plus i have reserved table for two i was thinking of having a bottle chilled RED WINE (CHARDONNAY), RED SNAPPER WITH SOME FRENCH FRIES for lunch
I would love to but my brother will not be free.....
you know he is shy!!!naomba mniletee tu lollypop!!!
I want both of you happy today .......l.o.l !!!