Leo ni Siku ya Babu na Wajukuu......Karibuni!

Leo ni Siku ya Babu na Wajukuu......Karibuni!

I will be right back....ngoja nikapige desa kwenye TUKI

Naona we mbishi kama Hosni Mubarak!

Acha kupiga desa leta tungo za kisasa
Babu mie sina tabu naghani bila kinasa
Unapoingia jiamini au nikupige msasa?
Wajukuu watakukimbia mie tawanasa...............
 
Sipiyu nimependa batasamu lako

Happy Valentine

Bahat ilioje hii

Ahsante MwanajamiiOne, umenifanya nijione namba One
Umekuwa JF the only One, kunitakia happy Valentine mwanaOne
Nipe walau only chance One, nikuonyeshe how to truly love someOne
I will be the only One, to the sweet love One
 
Acha kupiga desa leta tungo za kisasa
Babu mie sina tabu naghani bila kinasa
Unapoingia jiamini au nikupige msasa?
Wajukuu watakukimbia mie tawanasa...............

Kwangu vina vinanasa
Toka juzi hata sasa,
Nimeshindwa na siasa,
Vina nayo vinishinde?

Nashusha kwa kupapasa,
Bila ulimi kunasa,
Hakuna kitu kudesa,
Vina navyo vinishinde?
 
Bahat ilioje hii

Ahsante MwanajamiiOne, umenifanya nijione namba One
Umekuwa JF the only One, kunitakia happy Valentine mwanaOne
Nipe walau only chance One, nikuonyeshe how to truly love someOne
I will be the only One, to the sweet love One

We dogo tafuta mwingine, huyu ni Mjukuu Mtiifu kwa Babuye

hebo soma signecha yake kwa ufafanuzi zaidi.
 
Nilitunga kajiutenzi uchwara...wakati nataka kukabandika hapa nikakutana na hii ya muzee ya them vifuaz vya jukuuz.....I trashed it....
Anyway...hainizuii kuwatakia wana-MMU na wote siku njema ya mtakatifu mwenzangu valentino.......
 
Nilitunge kajiutenzi uchwara...wakati nataka kukabandika hapa nikakutana na hii ya muzee ya them vifuaz vya jukuuz.....I trashed it....
Anyway...hainizuii kuwatakia wana-MMU na wote siku njema ya mtakatifu mwenzangu valentino.......

Hahahaha....at least nimefanikiwa kucheka LOL!
 
Babu, aomba mambo, kwayake mashairi,
haya nendeni vidogo, babu mukamsitiri,
hachagui mjukuu, mhaya wala mshihiri,
huvitaka na vitukuu, babu yeye jasiri..

Babu, hakuficha siri, ameyasema dhahiri,
wajukuu hapo mukiri, babu nayake dhamiri,
masikini babu fakiri, tandale la kamba hariri,
babu ataka vinjari, pumbule mshipa wa ngiri..

hahahahahaha

Babu yake maneno hana tena urijari
Ni mbovu wa moyo asumbuliwa na ngiri
Ni mwingi wa mashauzi na kujifanya jasiri

Anapozi za ujana mtumzima aliekidhiri
Anjitoa wake uungwana kutongoza vigori
Watakuja mtoa nishai Mungu amsitiri
 
St. Royantine's day itakua 21/May.....nacheki lojistiks za Benedikti wa 6......will inform all promptly...

Aisee we mutu....
Hiyo siku inaambatana na biya?
 
Kwangu vina vinanasa
Toka juzi hata sasa,
Nimeshindwa na siasa,
Vina nayo vinishinde?

Nashusha kwa kupapasa,
Bila ulimi kunasa,
Hakuna kitu kudesa,
Vina navyo vinishinde?

Lenta nyingi nyingi zenye kukuza hoja
Usilete dhaifu ukajiona namba moja
Mapenzi ni kila siku si vantine kungoja

Umejitahidi kuja tofauti utoke kwenye hoja
Mohammed takukumbusha usituletee viroja
Kila siku tuwaezi na tuwape mapenzi ya haja

Wapendwa sikizeni babu yenu hana hoja
Ameshindwa kutetea nimechoka kungoja
Bora mimi nisafiri nikaongeze ujuzi unguja
 
Aisee we mutu....
Hiyo siku inaambatana na biya?

Hebu vaa miwani aisee......
Prv:31:6-7:
Give strong drink to them that are sad; and wine to them that are grieved in mind: Let them drink, and forget their want, and remember their sorrow no more.
 
Babu yake maneno hana tena urijari
Ni mbovu wa moyo asumbuliwa na ngiri
Ni mwingi wa mashauzi na kujifanya jasiri

Anapozi za ujana mtumzima aliekidhiri
Anjitoa wake uungwana kutongoza vigori
Watakuja mtoa nishai Mungu amsitiri

Babu kwake wajukuu,
hana yoyote makuu,
Huwezi hata nukuu,
Babu hapendi makuu?

Babu kaziye kulea,
Jukuu wapete kua,
Maisha kijianzia,
Babu wasimsahau.

Bibi babu amtosha,
Hawezi tena jichosha,
Babu hawezi jishusha,
Na jukuu kujirusha.
 
Hebu vaa miwani aisee......
Prv:31:6-7:
Give strong drink to them that are sad; and wine to them that are grieved in mind: Let them drink, and forget their want, and remember their sorrow no more.

Hahahaha....ngoja nikavae mawani yangu!
 
Hebu vaa miwani aisee......
Prv:31:6-7:
Give strong drink to them that are sad; and wine to them that are grieved in mind: Let them drink, and forget their want, and remember their sorrow no more.

Amen Amen Amen
 
Kwenu wajukuu zangu wote,

Babu loves you all…….ila ninamhitaji mmoja....atakayewahi.... wa kunikata kucha, kunilisha ugoro, kuniletea mkongojo na kunibembeleza…..Nani anatajitolea kunywa mvinyo na babu, siku hii maalum ya kupendana?

Je ni Festiledi Au Arusha kwa Preta?
Je ni Waisiledi au Birungi utan’vuta?
Jee ni Elo Dii, au Jei Esi waniita?
Michelle wa juhudi, au Askofu ntak'kuta?

Mwanajamii wani, Afrodenzi unataka?
Lizzy ninakutamani, Desidii uhakika,
Au wewe Gaijin, Dena mimi nakutaka,
Lili flawa namba wani, Pearl usiwe na shaka.

DaMie na Lovenesi, Maty ninakupigia,
Niliham sina wasi, Leney nakwaminia,
Njoo kwangu we Smiles, Rose utanipatia,
Nyamayao usihasi,Roselyline nangojea

Kwini kami natamani, Remi ninakungojea,
Regia uko bungeni, waweza kwangu pitia,
Carmel wangu wa moyoni, Cheusi wanivutia,
Hata wewe Dalingtoni, wajukuu wote pia.

Kwenu nyie wapwa zangu,
Msione wivu kwangu,
Hawa wajukuu zangu,
Babu nimejisevia.

Hawa kwao nina nia,
Moyoni kwangu fungia,
Haja yangu kutimia,
Valentine niwe nao.

Narudi kitandani kumsubiri mjukuu atakayewahi!

Happy Valentine’s day kwa wajukuu na wanachama wote hai wa JF jukwaa la MMU!
:hippie::lalala::A S-heart-2::A S kiss::A S thumbs_up::clap2::drum::msela::bange::welcome::welcome:

Happy Valentine X-mchumba!
 
Orait not a problem put any,plus i have reserved table for two i was thinking of having a bottle chilled RED WINE (CHARDONNAY), RED SNAPPER WITH SOME FRENCH FRIES for lunch

The Following User Says Thank You to The Finest For This Useful Post:
Lizzy (Today)

Mhhhh it's as if you were reading my mind!!!Tukimaliza tunaenda kupunga upepo baharini kidogo!!!:coffee:
 
I would love to but my brother will not be free.....

you know he is shy!!!naomba mniletee tu lollypop!!!

I want both of you happy today .......l.o.l !!!

You got it dearest!!!
Lollypop and some milk-way choco!!!
 
Happy Valentine to you too Babu.........................
 
Back
Top Bottom