CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,858
- 687
Duh! Hiki kibabu noma...
Mkuu haka ka-grandi faza kanajitakia balaa tu, hivyo vijukuu alivyovitaja vitam-babua mpaka mkongojo nao ubabuke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Hiki kibabu noma...
wewe Mohamedi Shoshi, Mbishi kama Osama?
Kila siku tunasali, Kwa Mungu twajiombea,
Ukisali jumapili, Jumatatu wezi achia,
Jumanne unasali, hata ijumaa pia,
Ila ipo siku moja, Ya kuswali kwa pamoja.
Isilamu Ijumaa, Wakristu ni Jumapili,
Hii hiwezi zuia, hakuna tena kusali,
Mungu tunamsalia, Siku zote tunaswali,
Ila ipo siku moja, ya kusali kwa pamoja.
Iko hivyo valentini, kila siku twapendana,
Ila kwa utamaduni, Siku moja inafana,
Hatoki mtu kundini, kwenye kupendana,
Siku ya valentini, ni kama siku ishara.
:laugh::laugh::laugh::laugh:You two guys makes laugh every now and then mmenikumbusha wimbo wa 50 Cent -DO YOU THINK ABOUT ME na ule wa BUSTA RHYMES - I LOVE MY CHICK
mbona umekuwa mkali? Kuna ulichonyimwa huko uliko?:twitch::twitch:
Aisee nyie vijana, hebu kaeni kando kidogo!~
LOL! hapana mkuu nimekuja kumchukulia babu ugoro tu
:laugh::laugh::laugh::laugh:you two guys makes laugh every now and then mmenikumbusha wimbo wa 50 cent -do you think about me na ule wa busta rhymes - i love my chick
Mkuu haka ka-grandi faza kanajitakia balaa tu, hivyo vijukuu alivyovitaja vitam-babua mpaka mkongojo nao ubabuke
Halafu wewe.....
Babu leo kweli valentine mpaka umepata muda wa kupanga vina!!
Happy Valentine to you too sweetheart!!
Nifikishie Valentine Spesho kwa Matesha..........zatoka kwa My One and Only
sasa mimi nasema nakupenda sana halafu wewe hutaki kunielewa....:a s 20:
sisi ni kama mr and mrs smith!
sisi ni kama mr and mrs smith!
Babu wake ugoro sie vyetu vimanzi
ajinasibu kwa nahau pamoja na tenzi
Awapumbaze wajukuu wajawe mapenzi
Babu kajichokea bila busta hawezi
Babu utajidhalilisha waachie wajuzi
Babu huna haya umri wako si wajuzi
Au wewe ni fataki tukupige makwenzi
Usituharibie wana wangali wanafunzi
Remove Your Thanks
The Following User Says Thank You to Lily Flower For This Useful Post:
Asprin (Today)
Mkwe signature yako inasemaje tena vile??????Hii Sredi inaenda mpaka nimesahau tuko wapi?
Hivi ma-valentine mvua imeisha kipande yenu ???