Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Kuna member sikumbuki ID yake aliewahi mtolea maneno mabaya sana ID ya kike nlitaka nimjibu ila nkajikuta napuuza tu ila deep down siwezii vumilia kuona mtu anakua offended
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada kwani umekuaje siku hizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mie mwenyewe nimechoka kujivumilia.
Najitamani hata nijioe mwenyewe....
😅😅😅😅Hakuna mtu nnae mvumilia Kama Luka Mwashambwa huyu Anko ananikwaza Sana.
Kuna characters pamoja na kuwa fake lakini zinakera.
Kweli binadamu tunatofautiana, mimi toka nimejiunga Jf sijawahi hata kukwazana/kupishana kauli/ kugombana na ID yoyote kwa namna yoyote ile. Nikiona kitu hakinifurahishi nakaa tu pembeniKuna characters pamoja na kuwa fake lakini zinakera.
Vijana wa siku hizi mnaroga msiachwe....naogopa mieMadame shida nn vijana tupo
Umenikumbusha mbali sana....ngoja nikae kimya tu...Ushapata roboti ya Elon nini ?.
Amekukwaza nini? Mbona ni mtu poa tu.Maxence Melo : natamani tukutane uso kwa uso tuchapane, nina wasiwasi atakimbia kama mwakinyo.
Keyboard warrior
Mdogo wangu wanaume hawa....walichonifanya, siri yangu.Dada kwani umekuaje siku hizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Sasa unaogopa nn bibie!! Hilo mbona ni jambo jema.Vijana wa siku hizi mnaroga msiachwe....naogopa mie