Leo ni siku ya kuvumiliana duniani. Ni member gani humu umemvumilia vya kutosha sasa basi?

....😳😳😳
Inaonekana nitalifaidi sana penzi lako maana sio kwa mistari hii kipenzi.
Nami naahidi kukulinda kuliko kuku alindaye vifaranga vyake...
Imeisha hiyo. Tufanye tu mchakato wa ndoa. Nielekeze kwenu nitume mshenga fasta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…