Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Rais Samia, mitandaoni wananchi wanauwasha moto kwenye comments

Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Rais Samia.

Baadhi ya media zimempost, ukifatilia sasa comments za wananchi.

Utapata picha nzuri kwanini siku hizi amehamishia majukumu yake Ikulu ndogo ya Tunguu.

Siku hii iambatanishwe na 29 October 2025. Kwa kipimo kile kile Cha damu zilizomwagika na kirudi kwa aliyesababisha damu Ile kumwagika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…