GemMaster II
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 3,599
- 11,307
Hivi kwani anazisoma? Je anasoma comments za watanzania juu yake?Hizi comments zinamfanya Samiya aendelee kujifungia ndani kama utumbo
Ndio kazi ya idara ya usalama, wanamfikishia japo kwa kupoza sanaHivi kwani anazisoma? Je anasoma comments za watanzania juu yake?
Walinzi watoto marafiki nk je wanampa taarifa hizi za kuchukiwa?
Kwahiyo hawampi kitu live live wanaediti na kuchuja ukali waache waendelee kumdanganya.Ndio kazi ya idara ya usalama, wanamfikishia japo kwa kupoza sana
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Heri ya Siku ya Kuzaliwa, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.![]()
Tunakupongeza kwa uongozi wako thabiti, wenye maono na dhamira ya dhati ya kuwaletea Watanzania maendeleo na ustawi.
Mungu aendelee kukulinda na kukuongoza.
Ignored and blocked successfullyHappy birthday to our lovely and our only president
Unaniongezea nini masikini kama wewe?Ignored and blocked successfully
Birthday yake ya mwisho?Heri ya Siku ya Kuzaliwa, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tunakupongeza kwa uongozi wako thabiti, wenye maono na dhamira ya dhati ya kuwaletea Watanzania maendeleo na ustawi.
Mungu aendelee kukulinda na kukuongoza.
May the wrath of God be upon this demon-possessed, blood-thirty monster!Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Rais Samia.
Baadhi ya media zimempost, ukifatilia sasa comments za wananchi.
Utapata picha nzuri kwanini siku hizi amehamishia majukumu yake Ikulu ndogo ya Tunguu.
Faki zati bichi.Heri ya Siku ya Kuzaliwa, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tunakupongeza kwa uongozi wako thabiti, wenye maono na dhamira ya dhati ya kuwaletea Watanzania maendeleo na ustawi.
Mungu aendelee kukulinda na kukuongoza.
Bobi wine's nightmareMuuaji , takataka , nyang'au anaishi kama huyu mwenzie anayejifungia .
Akae na afahamu hatujasahau October 29 na wala hatasamehewa kwa alichokifanya.
View attachment 3535051
Samia na Museveni wataondoka kama walivyowaondoa maelfu ya watu waliokuwa wanadai haki zao.Bobi wine's nightmare
Ungekuwa tajiri usingekubali kuwa chawa, hivyo ww ni lofa tu!Unaniongezea nini masikini kama wewe?