Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Hivi mgeni rasmi aliopokea salamu zetu kweli? Au yupo mbali na simu hahaaaa
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Sending you smiles for every moment of your special dayβ¦Have a wonderful time and a very happy birthday! manengelo
Heri ya siku ya kuzaliwa mdada!
Yesu akutunze mamy!
Nipo home mama we utakuwa wapi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji95][emoji95]...funguka code tusherekee pamoja. maisha mafupi haya
Aaameeen dearAmen mamy tuzidi kubarikiwa wote n tuishi mufa mrf had tushuhudie Magufuli akifurushwa kama Sudani[emoji57]
Ebu weka namba ya M-pesa, na nitaitumia kwa ukamilifu kabisa....tehteehh
Nipo home mama we utakuwa wapi
Hivi ulirudi kwa Mr pampula [emoji134][emoji134] nitafurahi nikijibiwa ulirudi jamani
Ni siku mbili tayari zimepita mkuu, kama hauto jali ebu ujage tu unifanyie wepesi kama hautojali...[emoji23][emoji23][emoji23]nije pm mkuu??
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilifikiri ule wa HEIGHTS
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Ni siku mbili tayari zimepita mkuu, kama hauto jali ebu ujage tu unifanyie wepesi kama hautojali...[emoji23][emoji23][emoji23]
Basi sawa mkuu, ebu fanya uje tuhahahababaa huna maana ww...siku 2 na mwenzako leo ndo nacelebrate...khaaa jaman wachaga muache ubahili bas...khaa
Basi sawa mkuu, ebu fanya uje tu
Woyoooooohh nikajua upo kitaa unajinywea...!Pampula siwez mwacha ww[emoji28][emoji28]..ngumj
Woyooooo
Hallelujah Mungu ni mwema
Kuacha mchezo kwahiyo umerudi home eenh uko unacheza na watoto
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hahahaba sio huo hizo ni interest zako ww..lol...[emoji7]