Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Happy Birthday Dear Mungu Akutunze
Happy earthday sister,uwe na maisha marefu yenye baraka tele.
Manengelo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28] ntakuambia..kuna uzi tulijikuta kuna vitu tunashare..tunapenda
Thanks dogo lake.....love u moreThank you for representing me 100 Likes (King).
Happy birthday sis manengelo.
Be best always.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi nimeishajua
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28] siishi majini mm...lol...chura bila hela[emoji28][emoji28][emoji28][emoji184][emoji183][emoji94][emoji94][emoji95]
Nimechelewa au?Nikutakie siku njema mami.
Happy birthday manengelo ....
Nimejisikia furaha kujua umezaliwa tarehe moja na binti yangu, first born...
Naamini nawe utakuwa kazuri kama yeye...
Kwa mantiki hii, kuanzia leo sitakutongoza tena....
Ha ha ha hadi wewe unaiita hvyo?Asante mdogo wangu mzuri
Ha ha ha hadi wewe unaiita hvyo?
Jamani puliiiiizSio huo...ni wa muda ht huwez kumbuka..nahakika 100%..ndo mara yangi ya 1kukufollow..huez kbs kumbuka
Ha ha ha na wewe unaamin kwamba am on 90's era?hahhaa watoto wa miaka ya 90 nawaita wadogo zangi tu mzee baba[emoji6]
Sijui ndo majina ya kisukuma[emoji848]
Majina yake yote magumu usiniulize lingine ni lipi
Jamani puliiiiiz
Basi hata kwa code za warumi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ujue hapa nasubiri
Au mpaka nije na gift niliyoahidi?
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
😂😂😂 love you more chaufupi mate.Asante chaufupi mwenzangu😅..lov u
Salamu zimefika...
Haka kabinti sijui kwanini kamejiita manengelo ... hili jina kulitamka shurti uwe umeshiba na huna kiu,.