Leo ni siku ya kuzaliwa Manengelo; tumtakie heri

Leo ni siku ya kuzaliwa Manengelo; tumtakie heri

[emoji28]Nasikiliza nyimbo zote, kasoro modern taarab.... Sema leo nina mood ya kusikiliza Hip Hip zile ngum za kina DMX, Wu tang clan, Mobb Deep, Fugees.. Kushangilia ushindi wa simba huko Congo.

Sent using Jamii Forums mobile app


dah umenikumbsha kina wu tang clan😅😅...bro angu enzi hizo tumeenda msalimia shule kuuliza jima lake hawamfaham..eti kakawa kanijiiita DMX😅😅😅kalichapwaa
 
They are friends so hakuna ubaya rafiki yako akikuanzishia uzi...wa happy birthday...

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo


Hahaha ba kwakuweka clear zaidi huyu August ni twin kama mie..so ni zaidi ya twin...sema twin don😅..ni Kulwa wangu na ye ni kulwa..akafie front
 
Back
Top Bottom